Siku ya jana, tarehe 26/2/2024, shirika la reli hapa Tanzania (TRC) lilifanya jaribio la kwanza la treni ya kisasa, umeme na mwendokasi (SGR), na miongoni ya malengo (matarajio ya watu?) ya msingi...
Huu ndio ukweli, tena Dar es Salaam! Mahudhurio hayakulingana na nguvu kubwa iliyotumika. Chama kilianza kampeni na uhamasishaji kwa takriban mwezi mmoja uliopita ukizingatia kwamba, Dar es Salaam...
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania
Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji
Ila huko Duniani kila...
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.
Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.
Labda tu kwa...
Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano.
Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani .
Ni aina ya maandamano ambayo...
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.
Tafadhali CHADEMA mje...
Kama hiri jamaa rinaitwa martin karanja kasese sijui ndo jina lake kumtusi Fatma kuwa anajihusisha na mambo ya jinsia moja ni tabia mbaya
Chadema ni chama cha matusi na kimejaa vijana malioo huyu...
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.
Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa...
Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu.
Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu...
"Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti...
Kumekuwepo na mwendelezo mzuri maana waandamanaji wameelewa kuwa kumbe ni ya Amani na ujumbe wa Masahibu yao unafika kunako mfupa.
Sasa yale yajayo yawe Dodoma na washiriki wawe;
Viongozi wa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kuendelea kufanya maandalizi na hamasa ya magari yao kuwa kesho wanafanya maandamano na kuwataka watu washiriki katika maandamano...
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri
Wezi hao...
Utaratibu wa kutoa majina ya watumishi waliokidhi vigezo vya kuhama kwenye tovuti ya TAMISEMI kila mwezi wa Juni na Desemba umeshakufa. Kwa sasa barua zimerudikana pale idarani kurugenzi ya...
Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko...
MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
"Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za...
Vijana wa Chama Cha ACT Wazalendo wamefanya mdahalo mmoja mzuri sana,ambao pia wameutumia kama uwanja wa kampeni.
Hoja nyingi zilielekezwa Kwa Mwenyekiti anayetetea nafasi yake katika Ngome hiyo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala.
Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.