Somo kupitia Kwame Nkrumah na ndoto za United State of Africa na tafakari ya hatma ya EAC

shoswede

Member
Nov 13, 2022
48
62
Habari za leo wana JF,
Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni winer? Kwanini sera zao ziliishia njiani ilihali walikua ni best good governance generation ever Africa? Na Je! Tulipo Sasa kunasomo gani tulipotoka na tunapoelekea? Kama ni Ujamaa ndio sababu tulikwama je? Ubepari umetupa utajiri?

Sehemu ya 1:

Nianzie hapa, Marcus Garvey na diaspora wenzake negros walikuja na ndoto yakuungana nakuunda umoja wa negros waliotoka kuwa oppressed. Wazo Hilo likapokelewa na wanaharakati wapigania uhuru wa Africa pia ambapo waliungana na ndugu zao, ikiwemo namwita Brilliant Kwame Nkuruma. Aliifungua Africa kwakuongoza ukombozi ulopelekea nchi nyingi baadae kuunga trela ikiwemo Tanganyika ya J.Nyerere. Baada ya hapo juhudi ziliwndelea za kuunganisha negros walikua nje ya Africa kuungana.
Katikati ya juhudi hizo Kwa assumption zangu kulingana na results ambayo hata tunaiona leo, alitokea nabii feki alikuja kubomoa ndoto hio, kuziba riziki negro wasiungane anaitwa Haile Selassie wa hapo Ethiopia. Naamini alikuja kujiatach na Nkuruma history ikisema walikua marafiki, nakuplay part kubwa kuunda AU umoja wa Africa. Binafsi naona kama ulikua mpango wakuvuriga negro unit, kwani Selassie alionekana kuwa na kibali uarabuni northern kwa status yao yakutotawaliwa, nakuonekana among superior group. Aliweza kuwashawishi Northern Africa Arabs kuungana na other Africa group kuunda AU. Ilipelekea Nkuruma Hadi kuoa mke wa Misri huko, nadhani hii ili kuongeza ushawishi wa muungano AU.

Selassie alifanikiwa kusambaratisha ndoto za negro unit na kukaa kati kama dalali kati ya black na Arabs ikatokea AU. Kina Negros Diaspora walivoona hivo ndugu yao kawasaliti nakujiunga na jamaa wenye asili ya waliotufanya watumwa wakajitoa, ukawa mwisho wa negro unit. Baada ya mafanikio hayo Selassie aliendelea kutukuzwa na unabii wake feki kuwa kaja kuunganisha blacks kumbe alikua ni agent aliesambaratisha. Nahii inareflect hata Sasa kizazi hiki ambapo tunaumoja wa jamii inayofanana eg. EAC itakayo tusaidia kubebana kibiashara na usalama kama tutakuwa waangalifu....doa linataka kujirudia who knows kuna influence external inayotaka umoja huo katu usidumu kwakua utasaidia sana tusiishie njiani kiuchumi kama Nkuruma au Nyerere. Naimani ishu sio Ujamaa walipigwa Pini wakajikuta wapo kati peke yao, uchumi ukayumba nakupelekea sera zao kufa. Ndio maana walihibiri umoja wa Africa, kwamba tukiungana sirahisi kuanguka, hata mmoja akipigwa pini anahemea Kwa jirani.

Mkakati wakumuingiza Kushi mwingine kuchangia kusambaratisha umoja mpya wa Negro EAC in my assumptions nakuona, ambapo Kuna promotion inaongeza Kasi kuwaingiza Kushi mfano hai Somali sasa, labda wengine wataongezeka. Swali ni je! Hawa jamaa kama wao Kwa wao ndugu wa nyumba Moja wameshindwana je sisi tunawapokea tuwawezeje? Au Kuna nia Gani...naona external kuvunja EAC tuendelee kutawaliwa. Internal kikundi binafsi within EAC zaidi Tanzania kinapromote kuwaingiza, kwakua wanampango wakuforce kuingia madarakani na watawatumia kuwanyamazisha wabaya wao. Nidhahiri kutoka historia ya nyuma tugundue jamii zenye status moja zinafiti zaidi nyumba Moja, kuliko mchanganyo lazima tuishie njiani. Na hii ni kwakua hizo jamii zinatuona inferior group kuliko wao, eti hawakutawaliwa wapo strong na tupo week somehow, nidhahiri kuwaingiza ndani watakuja taka kuwa juu, kitu kitachoua umoja huo ambao naamini ni muhimu sana kwetu kiuchumi natunauhitaji.
 
Sehemu ya 2:

Nkuruma kiongozi mwenye maono makubwa, Kwa muda mfupi aliweza kuweka Ghana sehemu ya juu, huduma Bora za afya, elimu na viwanda ikiwa nihatua nzuri ya maendeleo. Nidhahiri Kwa mikakati ya magharibi alihitaji ties ilikuwe na flow ktk uchumi wake aweze ku grow zaidi. Mimi sio mchumi naunganisha dots, ilimfanya kutumia mbinu nyingi kuunda AU haraka ijapokua alihitaki United States of Africa. Ilimpelekea kufocus na external issues nakusahau kujenga trust internal ktk nchi yake kwanza. Waghana bado walikua na kidonda cha maumivi ya wakoloni yalikua hayajaisha. Kama kiongozi alitakiwa taswira yake ielekee jamii anayoijenga kwanza kuwe na msingi imara usiotetereka before anything, ila alitaka vyote Kwa pupa nakujikuta akikosa vyote. Mashujaa Hawa wawili Nkuruma na Nyerere ambao ndio wastahilio high points Africa in my opinion, mmoja alikua brilliant mwingine wiser ikapelekea wiser kuwa winner kwakua aliweza fika mwisho wa safari yake na heshima zote, ilihali mwenzie kuishia njiani. Uchumi uliipukuta Ghana wananchi wakaandamana ikimaanisha trust ilipotea, hivo magharibi walivoweka mtego wakumpindia ukanasa Nkuruma. Hakujenga trust alisaliti negro wenzie before, akaendelea kukosesha kuleta muarabu kama first lady ikulu miungu ya waghana ikamlaani nakupoteza kibali. Hakuwa na mtetezi hata mkewe na watoto wakarudi Misri, ukawa mwisho wake kufia ugenini kama mkimbizi. Heshima yote kuleta ukombozi Ghana ikapotea watu wakasahau akaonekana mbinafsi alitaka kujinufaisha kwanza. Lakujifunza ukiacha asili nature automatic inakutema.

Nyerere ambaye history inasema alitaka United States of Africa isiharakishwe. Tuanze kwanza na vikundi ukandani then tuje kwenye umoja. Nadhani aalikua mwerevu alifocus kujenga kwanza nyumbani, akaweka trust Kwa watu wake, akaweka misingi imara hata zilipoibuka mbinu za kumpindua miungu ya Tanganyika ilimlinda na njama zilifeli. Vita iliendelea kumuwinda uchumi ulikufa kama Kwa Nkuruma, tofauti alishakua na msingi mzuri kwake, trust Kwa Imani walokua nayo bado Tanganyika ilimuamini. Nidhahiri hata angepinduliwa nchi isingekalika salama Imani na msingi imara ni nyenzo. Alipisha kiti na kumaliza safari ya maisha yake nyumbani ,alipewa heshima zote alizostahili. Hivo naami huyu ndie winer.

Chakujifunza ktk wakati huu tunapambana kuikomboa Africa mara ingine tuangalie nyuma tupate picha yauelekeo. Africa union kupitia free trade na majumuisho mengine itatusaidia kuinua uchumi, nakutulinda kiusalama. Lakini EAC ni nyumba muhimu yakuweka misingi imara mapema hii kabla hatujavuka kwenye vikubwa. Ili hata umoja Africa ukitetereka turudi nyumba salama yetu EAC. Tujenge trust wenyewe shida ikitokea tuendelee kusimama, kuliko kuingia kundi litalokuja kuvunja EAC tuwe hatuna makazi, turudi kutawaliwa. Nyerere say "without unity Africa has no future" Nchi Moja Moja hatuwezi jikomboa utapigwa Pini upotee...ila tukiungana ningumu kuanguka kiuchumi na kiusalama.
 
Mwisho:

Kuna watanzania wengi sana wanamlaumu Nyerere kwakuweka msingi mbaya, unaopelekea mpaka sasa chama kimoja kujiona wenye nguvu wanaostahili kuongoza nchi. Minadhani hata angeweka mpishano Kwa wakati ule yeyote mwenye tamaa na nia binafsi angeweza kuja seti watu wake nakuwaweka kibabe kama ilivo Sasa na chain ingeendelea vivo hivo hadileo. Kama mkapa aliweza binafsisha Kila kitu kwenye macho yake naasifanye chochote ni picha halisi. Kama nchi tuungane nakuweka misingi imara ya Sasa Kwa manufaa ya nchi.

Assumptions ya EAC internal factor nimereflect tuhuma za uongozi ulopita kuwa kunawarwanda wamechomekwa ktk maeneo muhimu kama jeshi. Ikimaanisha ni namna yakuweka kikundi chakujilinda , hii bila kujali madhara yabaadae taifa litalokuja pitia.
Hivo niombe Jeshi letu ambalo ndopekee lenye uwezo kumulika zaidi ianze na roots za matatizo. Ili tujenge taifa lilio na amani na uimara. Mchezo wakuruhusu system kuendelea kuchezewa na vyama vya siasa utaigharimu taifa.
 
Back
Top Bottom