Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,271
- 2,024
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA.
Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na vyama vilivyobaki ni vyama tanzu na CCM vipo kwa ajili ya kuibuka wakati wa uchaguzi kwa lengo la kupunguza kura za wapiga kura ambao hawakutaka kuichagua CCM bila uwepo wa hivyo vyama kura zao zingeenda CHADEMA. Kulijua hili hakuhitaji uwe na elimu ya sekondari au chuo kikuu kwani hata vichaa wanajua.
Labda tuulizane vyama hivi 22 vinafanya siasa wapi na lini? Je, ofisi na bendera zao mbona hatuzioni kupeperushwa mitaa? Je, mbona viongozi wake hawaonekani mikoani kuwatembelea wanachama wao?
Ushahidi wa vyama hivyo kuwa sio vya upinzani upo wazi kabisa. Hebu jiulize ni sahihi kwa mwenyekiti wa TLP kumnunulia fomu ya kugombea Urais mgombea wa chama anachokipinga?
Je, ni sahihi tanzania bara ACT Wazalendo kiwe chama cha upinzani ili hali kule Zanzibar kiunde serikali ya umoja na CCM?
Watanzania fungukeni vyama 21 vipo kwa ajili ya kupambana na CHADEMA. Kwa faida ya Watanzania vyama 21 vinavyopambana na CHADEMA ni kama vifuatavyo;
1. CCM
2. TLP
3. CUF
4. ACT
5. NCCR
6 UMD
7. NLD
8. UPDP
9. NRA
10. TADEA
11. UDP
12. Demokrasia Makini
13. FORD
14. CHAUSTA
15. DP
16. PPT
17. Jahazi Asilia
18. Sauti ya Umma
19. NDUTA
20. CHUDEWAMA
21.NDPR
22. NPF