Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

nusu kaputi

Member
Feb 1, 2014
28
34
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA.

JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI. Kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa

Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
 
Omba omba toka nje imepanda joto, ila hela za hivi huwa zinapigwa pia sana.
 
SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA,
JE MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE HUDUMA INAYOSTAILI HAMLIPI.kwa habari za chini Hadi wazabuni wanaopeleka vifaa tiba Mahospitalini wamegoma
Sasa hii nchi tunaipeleka wapi BIMA mmekaa kulipana maposho Kwenye viko na kujilimbikizia mikopo Hulu SHIRIKA likifa,Sasa linatafutiwa mbinu ya bima Kwa wote, Bila kujua kuchuguza ufanisi wa SHIRIKA, kwanini kusewepo na machirika mengi wakapambanishwa hili linawapa kiburi
Watumishi wanakatwa kila mwezi ila wajanja wanazitumia watakavyo. Huu mfuko umechezewa kweli kweli.
 
Kwa hiyo tujiandae kujifunga mkanda kwa anguko kubwa la kiuchumi??

Serikali inaposhauriwa iwe inapokea ushauri, iachane na matumizi yasiyo ya lazima

Misafara isitishwe hata ikiwepo basi kuwepo hata gari tatu tu basi, mashangingi yasiahizwe, safari za nje ziangaliwe ikiwezekana zisitishwe, serikali ijikite kuwezesha wakulima kwa dhati na siyo maneno maneno

Serikali ipunguze uagizaji wa bidhaa za nje n.k

Mafisadi na wizi unaoanzia milioni moja, wanyongwe
 
Nina miezi nane sasa tangu nimepeleka oesa za mtoto shule akatiwe bima na shule kama walivyo agiza. Na bado bima hazija toka hadi leo.
Nilishauri NHIF ipelekwe NIC labda wataweza kuendesha kakini hii kupeana vyeo kiradiki hatufika.
Sijui ni kitu gani Ccm wana weza simamia jamani.. Labda safari za kila siku kuiba kura, na kupoteza watu.
 
Sema Basi tu Ila ni kaujinga frani ku mwamini mtu akutunzie jasho lako
Kumpa mtu akutunzie fedha zako ndiyo utaratibu ulioko duniani kote. Hivi hata hizo noti za elfu kumi mpaka sarafu ndogo kabisa unazomiliki unadhani una control nazo? Leo hii wanaweza kutangaza kila noti ya elfu kumi haina thamani yoyote, yaani ni karatasi tu.
 
Nina miezi nane sasa tangu nimepeleka oesa za mtoto shule akatiwe bima na shule kama walivyo agiza. Na bado bima hazija toka hadi leo.
Nilishauri NHIF ipelekwe NIC labda wataweza kuendesha kakini hii kupeana vyeo kiradiki hatufika.
Sijui ni kitu gani Ccm wana weza simamia jamani.. Labda safari za kila siku kuiba kura, na kupoteza watu.
Kwani NIC nao wazima? Kipofu akawe kiongozi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom