Ni kuhusu umoja wa kitaifa katika Matukio kama haya ya kitaifa.
Niliona limetokea kwa Lowassa nature ikalirekebisha ila nashangaa tena kwa Mwinyi limejitokeza tena.
Naona Mama anapambana sana...
Bongo : Ukichagua upinzani hatuleti maendeleo. Ila kodi kila Mtanzania anakatwa bila kuulizwa chama chake.
Nje Kiongozi akifanya kosa dogo tu huomba msamaha na ikiwezekana kuachia nafasi haraka.
Katika karne hii Huwa nasikia wanasiasa na viongozi wa serikali wakizungumzia ujenzi wa "matundu" ya vyoo katika shule kama mojawapo ya mafanikio yao nashangaa sana!
Matundu ya vyoo mara nyingi...
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze).
Inadaiwa...
Tarehe 25 November 2023 Niliandika barua kwenda kwa wafadhili wa serikali ya Tanzania wakiwemo USA, bunge la Ulaya na wengine nikilalamikia ufadhili wao kuuwa demokrasia na mfumo wa utoaji haki...
Baada ya kuzindua kitabu chake Jioni ya leo Rais Samia amesema anamshukuru Mungu kwa kumpa Mwinyi miaka 96 na sasa anamwombea afike 100
Pia amesema anaona Mzee Mwinyi akipata shida ya kupanda...
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha...
Kutokana na utendaji kazi mzuri wa Lengai Ole Sabaya wakati akiwa Mkuu wa Wilaya Hai mkoani Kilimanjaro kuna haja ya mheshimiwa rais kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ili akapige kazi...
Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Ndg. Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi.
More to follow
Kwako Waziri wa Ardhi, Mh. Jerry Silaa. Pole sana na majukumu ya utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Bila kupepesa macho, chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi ni watendaji. Watendaji wanapokuwa wamekaa...
Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani.
Padre yule...
Katika jambo ambalo Mungu ameutendea haki ulimwengu huu ni lile la kila mtu kulipwa kulingana na matendo yake mwenyewe , yaani Mungu ameweza kuhakikisha kwamba kila mwanadamu aliyeumbwa kwa udongo...
Wakuu heri ya sikukuu ya pasaka na poleni sana kwa mauaji ya askari wetu yaliyotokea huko Rufiji (Namuomba Mwenyezi Mungu aziweke roho za askari wetu mahali pema peponi, Amina)
Baada ya salamu...
Jana Rais Samia kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu Mwinyi, alitangaza kuwa katika pia kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu huyo wa zamani aliyetimiza miaka 96, serikali imempatia...
Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa...
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu...
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la Mzee Ruksa leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya...
Mashirika yasiyokuwa na hospital zao walitibiwa kwa Dr Mvungi, Dr Mtawali,Burhani, Ibrahim Haji nk
Nakumbuka pale Samora avenue kwa Dr Mtawali mapokezi yake tu unaanza kupona
Siku Hizi ukiwa na...
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.
This is cheap politics.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.