Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,379
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
 
Anakwenda kua mwenyekiti wa chadema maana akili na busara za zitto mmoja ni sawa na uongozi wa baraza kuu lote chadema!
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
KAZI YA KUIHUJUMU CHADEMA AMEIFANYA SANA TOKA AKIWA CHADEMA ILA WENYE AKILI KUBWA WALIMGUNDUA NA KUMTOSA
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
Nimejifunza kitu kimoja
If your are potential kwa nchi yako usigomee nafasi yoyote utakayopewa kuonesha utukuka wako kwenye utumishi.

CCM imefika tamati, tusipozichanga vizuri tutajikuta akina Mwijaku wanateuliwa Balozi kiwakilisha nchi🤣
 
ZZK, PM, FM wanafanya kazi Moja na inawezekana bosi wao ni mmoja.

ZZK ameshafanya kazi nyepesi na ngumu hata akipewa huo ubalozi ni kama retirement bonus tu.
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
Mange anasemaje?
 
Back
Top Bottom