Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993

Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.

==

Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
 
Hawa waliandaliwa kikao na wanausalama. Kikao kilifanyika seashell s hotel na huyu bwana mropokaji ameandaliwa hata vya kusema. Ameonekana akiwa na TISS Mara baada ya kikao na jana alikuwa nao pia
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa
Yale mambo wanayoandika humu ma chawa ndo hayohayo aliyosema
Apuuzwe mjinga mmoja huyu
 
bora tubaki tukijua tu kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM ,, huku kwingine acha watu wapambanie ruzuku, ajira zenyewe ngumu
 
..Polisi walalahoi wasitumike kupiga waandamanaji.

..Abduli na watoto wenzake wa vigogo ndio wawe mstari wa mbele kwenda kuzima maandamano na kutetea ulaji wa wazazi wao.
 
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.

==

Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
Hata sijawahi kumsikia hata siku moja, kenge huyu
 
Hii michezo inajirudia kila mwaka, ndio maana kuna haja ya Chadema kuangalia namna nyingine ya kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi, wakisema watasusa wasishiriki, hivyo vyama pandikizi vitashiriki.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa)
IMG_1495.JPG

Kama hamuijui Tanganyika, waulizeni hawa walopata Jeki. Tanganyika Jeki.

Inapatikana Tanzania, Tanganyika peke yake.

polisi-2-jpg.190566

😅😂😁Nacheka kama mazuri hayo. Duh
 
Nashangaa Sana ccm inavyotufanya watanzania wajinga wakufikiri kiasi hichi wanawatuma watu wao Eti waseme hawaungi mkono maandamano kwakivuli Eti vyama vya upinzani 13 na wana amini watanzania watukubari kweli wale Ni wapinzani labda wapinzani wa wapinzani hapo sawa Yani libaba lizima linafamilia linakubari kujitoa akili mbele ya vyombo vya habari Eti sisi kama vyama 13 vya upinzani atu ungi mkono maandamano kweli ogopa sana njaa ikiwa kichwani yani linakubari khasa kujitoa akili kwa ajili ya njaa Yani ushauri wangu kwa chadema msiwajibu hao wapumbavu kwani kuwajibu hao mataahira ni kujivua nguo kweli ccm imeishiwa mbinu za kisiasa
 
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.

==

Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
Wanaume kama mahanithi, aloiwasema Maalim seif. Mwanamume huwezi kununuliwa suti ukasaliti milioni 60. mahanithi tu hao
1705564161888.png
 
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.

==

Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
Kwa muonekano na jinsi ya uwasilishaji wa hoja zake inaonekana wazi huyu jamaa ni mweupe kichwani kwenye kujenga hoja. Miemuko yote ile inatokana na rushwa ya kununuliwa hiyo nguo aliyoivaa.?

Ana hoja za kitoto,, ukiwa mwanasiasa hakuilazimishi familia yako kuwa ya wanasiasa. Atasemaje waandamanaji waende na familia zao? hii ni kufisika kichwani. Hatujawai kumuona akizuia maandamano yoyote yanayofanywa na CCM kumpongeza Rais juu ya jambo fulani. Au hao mama ntilie anaowatolea mfano uadhirika tu pale maandamano yanapofanywa na Chadema na si vinginevyo? Njaa mbaya!!

Kama kuna kikundi kinajiita umoja wa vyama vya siasa na kinaongozwa na mtu kama huyu, basi wamepotea njia.
 
Back
Top Bottom