Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies,

Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.

Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.

Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.

Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.

Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.

Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.

Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.

Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.

Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??

Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.

CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
 
Wanakuja Ntwara 😄
Hilo jambo siyo la kulifumbiq macho na kulichukulia poa, Wilbroad Slaa alihama chadema na kuwakashifu kuwa ni mafisadi Kwa kumkaribisha Lowasa,Leo hii anaonekana front akiwa na makamanda kwenye maandamano ya chama,lini karudi Rasmi kwenye chama?
 
Chadema na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??

Wewe ni mwongo au una tatizo la kumbukumbu.

Dr. Slaa hakuwahi kutamka kywa hatajihusisha na siasa. Hakueahi kulisrma hilo hata mara moja.

Alisrma kuwa hatajihusisha na siasa za vyama vya siasa. Atafanya siasa zentr maslahi kwa Taifa tu. Na mpaka sasa Dr. Slaa hajatamka wala kutangaza kuwa amejiunga na chama chochote cha siasa.

Suala la bandari kuporwa na DP World, inadhihirisha kauli yake, maana lile halikuwa suala la chama cha siasa bali ni maslahi ya nchi. Bandari ni rasilimali ya Taifa ambayo wasiolipenda Taifa letu wanataka kuipora kutokana na maslahi yao binafsi.
 
Hilo jambo siyo la kulifumbiq macho na kulichukulia poa, Wilbroad Slaa alihama chadema na kuwakashifu kuwa ni mafisadi Kwa kumkaribisha Lowasa,Leo hii anaonekana front akiwa na makamanda kwenye maandamano ya chama,lini karudi Rasmi kwenye chama?
Hata Hamas Ili kumkabili Myahudi imebidi awaalike Akina Hizbollah japo hawana Urafiki wa kudumu

Adui wa Adui Yako ni Rafiki Yako 😂😂
 
Friends and Our Enemies,

Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.

Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.

Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.

Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.

Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.

Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.

Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.

Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.

Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??

Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.

CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
Una udini sana na chuki kali.
Punguza udini, punguza chuki
 
Hilo jambo siyo la kulifumbiq macho na kulichukulia poa, Wilbroad Slaa alihama chadema na kuwakashifu kuwa ni mafisadi Kwa kumkaribisha Lowasa,Leo hii anaonekana front akiwa na makamanda kwenye maandamano ya chama,lini karudi Rasmi kwenye chama?

Dr. Slaa kama atabakia kusimama kwenye kauli yake kuwa hatajihusisha na siasa za vyama bali maslahi ya nchi, kwake itakuwa sahihi kuonekana kwenye jukwaa la chama chochote au taasisi yoyote alimradi kama hicho chama au hiyo taasisi, wakati huo itakuwa ikijishughulisha na jambo lenye maslahi kwa Taifa.
 
Wewe ni mwongo au una tatizo la kumbukumbu.

Dr. Slaa hakuwahi kutamka kywa hatajihusisha na siasa. Hakueahi kulisrma hilo hata mara moja.

Alisrma kuwa hatajihusisha na siasa za vyama vya siasa. Atafanya siasa zentr maslahi kwa Taifa tu. Na mpaka sasa Dr. Slaa hajatamka wala kutangaza kuwa amejiunga na chama chochote cha siasa.

Suala la bandari kuporwa na DP World, inadhihirisha kauli yake, maana lile halikuwa suala la chama cha siasa bali ni maslahi ya nchi. Bandari ni rasilimali ya Taifa ambayo wasiolipenda Taifa letu wanataka kuipora kutokana na maslahi yao binafsi.

Utueleze Sasa kamanda,Padre Mzinzi Wilbroad Slaa anafanya Nini kwenye maandamano ya chama Cha chadema na yeye alishatangaza kuwakimbia??unadhani kama Mwendazake angekuwa yupo hai je Wilbroad Slaa angeshiriki nao Chadema??

Mind you hata hayo maandamano mwendazake alipiga marufuku na nyinyi hakuna yeyote aliekathubutu kufanya chochote zaidi zaidi ya kufia jela na kukimbia Nchi.
 
Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa Maguful

😂😂🔥
 
Kauli hiyo haitawafurahisha chadema,ila itampendeza Wilbroad Slaa,na wote wapo pamoja wakiandamana Kwa sababu ya kutaka demokrasia,I will never understand politics of this society...
 
Dr. Slaa kama atabakia kusimama kwenye kauli yake kuwa hatajihusisha na siasa za vyama bali maslahi ya nchi, kwake itakuwa sahihi kuonekana kwenye jukwaa la chama chochote au taasisi yoyote alimradi kama hicho chama au hiyo taasisi, wakati huo itakuwa ikijishughulisha na jambo lenye maslahi kwa Taifa.
Wilbroad Slaa ni MTU mlafi na mwenye Njaa tuh, chadema kujiweka nae karibu na kuwa mshirika pamoja nae ni kuwadharau watanzania na kujichimbia kaburi lao wenyewe...
 
Friends and Our Enemies,

Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.

Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.

Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.

Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.

Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.

Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.

Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.

Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.

Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??

Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.

CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko?
Shida yako ni nini hasa?

Alipojiudhuru alisema asingejiunga na chama chochote, kwani ni kosa?

Halafu ni lini Dr Slaa alishawahi kuwa balozi wa Canada?

Bandiko zima ni kama limejaa chuki kuliko kuongelea sera na uhalisia wa mtu!

Haya, Dr Slaa alivyojiondoa Cdm kuna kosa la kisheria kufanya hivyo labda?

Je amekuambia alijiunga Ccm baada ya kujiudhuru?

Je amekuambia anarejea kujiunga na Chadema leo?

Kwa hiyo mtu anapojiudhuru kwa kutokubaliana na jambo fulani anakuwa amesaliti?

Tafuta sababu yenye mshiko kuelezea wasifu ama makando kando ya Dr Slaa, kwa sababu uliyoyaongelea yote hayana mshiko.

Unaonekana wewe kachawa kadogodogo ama ni lichawa la ridhaa libobezi!
 
Utueleze Sasa kamanda,Padre Mzinzi Wilbroad Slaa anafanya Nini kwenye maandamano ya chama Cha chadema na yeye alishatangaza kuwakimbia??unadhani kama Mwendazake angekuwa yupo hai je Wilbroad Slaa angeshiriki nao Chadema??

Mind you hata hayo maandamano mwendazake alipiga marufuku na nyinyi hakuna yeyote aliekathubutu kufanya chochote zaidi zaidi ya kufia jela na kukimbia Nchi.
Wewe una uchawi wa kidini na unaonekana ni jitu katili sana,yaani ukirudi nyumbani hadi kuku wanakimbilia chini ya uvungu, wewe nani kakupa usemaji wangu?,Mr. SLAA yupo huru kufanya chochote ili mradi havunji sheria, mwendazake alikua muuaji, wapi Mr.Saanane?
 
Shida yako ni nini hasa?

Alipojiudhuru alisema asingejiunga na chama chochote, kwani ni kosa?

Halafu ni lini Dr Slaa alishawahi kuwa balozi wa Canada?

Bandiko zima ni kama limejaa chuki kuliko kuongelea sera na uhalisia wa mtu!

Haya, Dr Slaa alivyojiondoa Cdm kuna kosa la kisheria kufanya hivyo labda?

Je amekuambia alijiunga Ccm baada ya kujiudhuru?

Je amekuambia anarejea kujiunga na Chadema leo?

Kwa hiyo mtu anapojiudhuru kwa kutokubaliana na jambo fulani anakuwa amesaliti?

Tafuta sababu yenye mshiko kuelezea wasifu ama makando kando ya Dr Slaa, kwa sababu uliyoyaongelea yote hayana mshiko.

Unaonekana wewe kachawa kadogodogo ama ni lichawa la ridhaa libobezi!
Sasa,hata kama hoja ndogo ya Wilbroad Slaa kuwa balozi Canada unaipinga tutakaa hapa tujadili kitu Gani?
 
Slaa sio mwanasiasa Slaa ni mdini na huo ndiyo unamsumbua hakuna cha maslahi ya nchi wala nini kwa sababu hata yeye kwa umri wake akiteuliwa kuwa balozi haikuwa ni maslahi ya nchi bali alitanguliza maslahi binafsi vinginevyo angekataa uteuzi,sasa mwache aanguke barabarani kwa uzee ndiyo atajua.
Hakuna chuki mbaya kama ya udini.
 
Wewe una uchawi wa kidini na unaonekana ni jitu katili sana,yaani ukirudi nyumbani hadi kuku wanakimbilia chini ya uvungu, wewe nani kakupa usemaji wangu?,Mr. SLAA yupo huru kufanya chochote ili mradi havunji sheria, mwendazake alikua muuaji, wapi Mr.Saanane?
Well,umeona ulivyo mjinga Sasa?

Unakumbuka Saa nane ambae Kwa kauli yako alipotezwa na mwendazake,unaacha kujadili huyo Slaa ambae Kwa Sasa ni mshirika wenu kipindi kile mwendazake yupo ndie alikuwa mshirika wa Wilbroad Slaa,mnashindwa kujua kuwa the only reason Slaa anashirikiana na nyinyi Leo ni sababu tuh mwendazake is dead and gone,hamtumii akili??
 
Slaa sio mwanasiasa Slaa ni mdini na huo ndiyo unamsumbua hakuna cha maslahi ya nchi wala nini kwa sababu hata yeye kwa umri wake akiteuliwa kuwa balozi haikuwa ni maslahi ya nchi bali alitanguliza maslahi binafsi vinginevyo angekataa uteuzi,sasa mwache aanguke barabarani kwa uzee ndiyo atajua.
Hakuna chuki mbaya kama ya udini.
Nakubali hoja yako Kwa asilimia mia Moja,it seems the only reason Slaa anashirikiana na chadema ni chuki zake za udini tuh na siyo jambo lolote lile,na ushirika wao Moja Kwa Moja unapelekea angulo la chadema.
 
Back
Top Bottom