Lissu kama kweli unataka kuwa Rais wa JMT achana na "cheap politics"

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.

Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda naye atakuwa mwananchi wako.

Hebu focus kwenye makubwa yanayolingana na hadhi ya Ikulu (Ufalme). Siasa za kina Makonda waachie kina Godbless Lema na wengine. Ishi siasa za kiuongozi wa nchi tofauti na hapo tutajua ni mpitaji tu wa kawaida. Fanya siasa za kikubwa. Ukinielewa sawa usiponielewa basi poleni Chadema.
 
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili...
Makonda ndio suspect namba ya watesi wa Lissu.

Hujui kitu kaa kimya, unaelewa maumivubya risasi karibu 30 mwilini?

Hili halijaisha, ipo siku haki itatendeka, waliokusudia kumuuwa Lisu watakumbana na mkono wa Sheria.
 
Cheap politics ndio waTZ wanapenda.hakuna mTanzania(in general) mwenye attention span au upeo wa kukaa na kusikiliza mwanasiasa akielezea kipengele Hadi kipengele kwanini mkataba wa DP world ni WA kinyonyaji.walijaribu hilo na watu wameshasahau.

Acha apige huko huko maana kwenye Mambo ya kimbea hatujambo..siasa hizi za 'konde gang vs wcb', simba vs yanga ndio tunaziweza
 
Kabisa
 
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.

Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda naye atakuwa mwananchi wako. Hebu focus kwenye makubwa yanayolingana na hadhi ya Ikulu (Ufalme). Siasa za kina Makonda waachie kina Godbless Lema na wengine. Ishi siasa za kiuongozi wa nchi tofauti na hapo tutajua ni mpitaji tu wa kawaida. Fanya siasa za kikubwa. Ukinielewa sawa usiponielewa basi poleni Chadema.
Ni hivi , ukishindwa vitu vidogo vikubwa huviwezi , lazima hawa mamluki dagaa washughulikiwe halafu ndio twende juu
 
Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.

Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda naye atakuwa mwananchi wako.

Hebu focus kwenye makubwa yanayolingana na hadhi ya Ikulu (Ufalme). Siasa za kina Makonda waachie kina Godbless Lema na wengine. Ishi siasa za kiuongozi wa nchi tofauti na hapo tutajua ni mpitaji tu wa kawaida. Fanya siasa za kikubwa. Ukinielewa sawa usiponielewa basi poleni Chadema.
Naomba kipande cha video (clip) kikionyesha Tundu Lissu akilumbana na Makonda.

Tafadhali sana tuwekee,vinginevyo huu uzi wako ni batili na uongo wa baba wa uongo, shetani.
 
Naunga mkono HOJA.

Lissu atumie majukwaa ya kisiasa kuonyesha dira juu ya wapi angependa Nchi ielekee.

Apunguze kujibizana kusiko na msingi.
 
Back
Top Bottom