Ni miaka 3 sasa bila yule anayeonekana ni kikwazo cha CHADEMA Shujaa Magufuli kuwepo duniani lakini CHADEMA iko vile vile kama 2021.
Nini kinawakwamisha CHADEMA kujitwalia viti vyao halali 19...
Je unadhani hii itakuwa ni mwarobaini wa kero za usafiri wa Mwendokasi?
My Take
Naunga mkono hoja ila Mwekezaji awe mwenye uwezo isije kuwa kama zile treni za Wahindi za TRC
=====
Waziri wa Nchi...
Ole Sendeka Mbunge machachari wa Simanjiro na ambae husema kweli Daima bila unafiki amemtaja Rais Samia kama Kiongozi wa mfano ambae ameleta maendeleo makubwa kwenye sekta zote za Uchumi licha ya...
Pamoja na malalamiko makubwa sana kuhusu mfumo mpya wa maisha ulioshika kasi siku za hivi karibuni ni vyema kufahamu pia chanzo kikubwa cha mambo haya.
Ukweli ni kwamba katika nchi yetu maslahi...
Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia.
Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu...
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe...
Inakuwaje kwamba Kenya, kuanzia kati ya mwaka uliopita, ilishuhudia kuanguka vibaya kwa sarafu yake, Kenya Shilling, hadi kufikia mwisho wa 2023, ilipoteza asilimia 20% ya thamani yake.
Shilingi...
Kila mwaka tangu mpendwa wetu ashike madaraka ya uraisi kumekuwa na maadhimisho ya kuazimisha madaraka yake.
Je, haya mabango, matangazo kwenye vyombo vya habari, Makongamano na dhifa...
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa.
Ni muda...
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni...
Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini?
WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI
Na. WAF - Dar Es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi...
Mkoa wa Njombe kwa sasa Kilimo kikubwa ni maparachichi kwa sababu kuna soko la uhakika. Je baada ya miaka 5 ijayo soko hili litakwepo huko nje?
Njombe na Mbeya ni muhimu kukawa na kiwanda kidogo...
Kauli ya Waziri Mbarawa kwamba treni yetu iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sio ya mwendokasi imeibua taharuki na kelele nyingi sana kutoka kwa raia wengi wakiona kama wamechezewa mchezo wa...
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na...
Tanzania tuna miaka 63 ya toka tupate uhuru lakini kimaendeleo na kisiasa na kidemokrasia tuko juu, kuliko Haiti iliyopata uhuru miaka 220 iliyopita.
Hongera CCM kwa kuipeleka nchi spidi kali...
Baada ya kumsikiliza mkuu wa majeshi mstaafu katika mahojiano yake na vyombo vya habari vya serikali, nimewaza jambo.
CDF Mabeyo anasema wakuu wa vyombo walijulishwa hali ya mkuu wa nchi, na...
Leo 19/03/2024 Rais Dr Samia Suluhu Hassan anatimiza Miaka 3 ya Uongozi wake kama Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu
Nchi za Africa Mashariki zimekuwa na tatizo kubwa la Demokrasia na Tanzania...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs...