Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.