Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi...
22 Reactions
103 Replies
5K Views
Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea. Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Watanganyika safari hii wamenasa Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......) Walianza na ngorongoro Wakaja na bandari Wakaja kwenye mabasi ya...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Hakika nichukue nafasi kuipongeza CCM, tume yake ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi kwa kusimamia kwa umakini mkubwa uchaguzi mdogo na kupelekea CCM kupata ushindi wa kishindo ukiwa ni ishara ya...
0 Reactions
8 Replies
949 Views
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao...
30 Reactions
118 Replies
8K Views
Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie...
13 Reactions
123 Replies
4K Views
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) Tarehe 21 Machi, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Uwekezaji wa Rais Samia kwenye Elimu unalenga matokeo ya mda mrefu na kwa faida ya kizazi Kijacho.Hayo yameelezwa na Prof.Mkenda wakati Akitoa muhtasari wa mafanikio ya Miaka 3 ya Rais Samia...
1 Reactions
7 Replies
998 Views
Najikumbusha Tu viwango vya Wagombea wa Upinzani miaka ile ya Mwanzo kabisa ya Upinzani na sasa Kwa kifupi Dr Lamwai wa NCCR mageuzi alishinda kile Kiti Leo CCM inazoa viti vyote 23 kiulaini...
1 Reactions
4 Replies
671 Views
Salaam, Shalom!! DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki, Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake, Swali...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Nashangaa tena nashangaa sana wanasiasa wenzangu ambao mpaka sasa ni wabunge wa majimbo mbalimbali bado wanafanya siasa za miaka ya 90's huko wakati tupo kwenye ulimwengu wa wapiga kura waelewa na...
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Atoa agizo la upatikanaji wa huduma ya maji ifikapo Juni, 2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea na kukagua mradi wa maji Same - Mwanga -...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya...
22 Reactions
46 Replies
5K Views
Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko . Wanaccm wote wa Tanganyika na Zanzibar mara zote wamejiapiza kuhakikisha Maalim Seif Sharrif Hamad hapati uongozi wa Juu wa Zanzibar , iwe kwa halali...
22 Reactions
97 Replies
6K Views
Back
Top Bottom