Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,005
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.

BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.

MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
 
Kama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?

Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.

Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.

Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.
 
Ila nawe mtoa hoja umejiandaa vipi utakapoona haki yako inaibiwa?,utafanya nini utakapoona karatasi yako yako kura kabla ya kuhesabiwa inafungiwa chapati mitaani?,haki inaanzia na wewe mwenyewe
 
CDM ongezeni NGUVU ya Maandamano,..jipangani vizuri hiyo April,hamasisheni wanachama wenu+ watanzania wapenda haki bila kusahau wanaharakati..Tumieni MEDIA zile zenye KUSIMAMIA haki...

CCM hawajawahi kuwa WAKWELI ..kutwa ni uongo uongo,ulaghai,ghiriba ..dawa ni JINO kwa JINO hadi kieleweke
Upo sahihi mkuu,haki inapatikana kwa push back,sio kulalama humu kwenye soft landing
 
Ila nawe mtoa hoja umejiandaa vipi utakapoona haki yako inaibiwa?,utafanya nini utakapoona karatasi yako yako kura kabla ya kuhesabiwa inafungiwa chapati mitaani?,haki inaanzia na wewe mwenyewe
🔊🆒📝👍👌👊👏🤝🙏🗼🛡️
 
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.

BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.

MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Miaka yote ilifanya nini watangoja 2030!
 
walau mjitahidi pia kubadili sababu nyingine za kushindwa uchaguzi ndrugu zango, sasa zile zile miaka nenda miaka rudi 🐒

Ifike mahali tu kubalini tu kwamba hamkubaliki kwa wapiga kura, kwan Lazima 🐒

mkileta fujo mnakamatwa unafungiwa selo wengine na mambo mengine yanaendelea kwa haki, amani na uhuru 🐒

kwamba unadhani ukitoka selo baada ya kutiwa nguvuni watu hawatajua utasema nini ukiachiwa huru?
Ni useless kabisa 🐒
 
Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.

BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.

MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Umemaliza kila kitu hapa
 
Kama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?

Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.

Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.

Wakaiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.
Umeandika point sn
 
Back
Top Bottom