Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.
Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri kwenye elimu na watu wasio na njaa.
Hizi taasusi ni kama zimetengenezwa na baraza la madiwani.
Tutakuja kuwa na kizazi kisicho na uelewa wa mambo.
Mtoto anaanza kuspecilize akiwa form 3 na form v anasoma fasihi na kingereza.
Kuna nchi moja kubwa duniani tulienda kusoma huko, form 5 unasoma masomo kama 7 hivi ila core subject ni kama 3.. mfano kama umechukua science basi utasoma Biology, chemistry, physics, mathematics, languages, economics, uraia ambayo inasoma kuhusu nchi husika.pamoja na IT.
Kwenye science kuna science 1 and science 2
Wale wanao chukua science 1 ambayo ni kama PCB, masomo hayo matatu yanakua na coefiecient (weight) ya 5 na mengine yote inclusing chemistry yanakua na coeficient (weight) ya 2.
Wale walio soma chuo nadhani mnanielewa.
Kwa hiyo mwanafunzi akimaliza a level anakuwa na maarifa ya kutosha.
Tutakuja kuwa na watanzania ambao hawata kuwa na qualificatiom za kwenda vyuo vya nje kwa sababu kuna taasusi ziwekwa kqa kusikiliza wana siasa.
Kuna mambo ambayo yanatakiwa kufundishwa kwa mtanzania kama kilimo kwa kila mwanafunzi, madini, utalii etc.