Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na Wabunge

JAPHET PAUL

New Member
Nov 3, 2023
2
4
Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo inapelekea kushindwa kutimiza majukumu yake ya kibunge ipasavyo ikiwemo kutembea jimbo lake ili kutambua na kutatua changamoto mbalimbali ndani ya Jimbo lake.
 
Back
Top Bottom