BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali amewashukuru Watanzania wanaoendelea kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya makombora yanayofanya na Taifa la Israel katika Ukanda wa...
Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na...
Ukoloni wa pili wa Afrika:
MPANGO UOVU WA CHINA KWA AFRIKA
Kufikia mwaka wa 2050, kulingana na vipimo vya ethnografia ya kijiografia ya bara, Afrika itakuwa bara la Uchina. Viongozi wa Kiafrika...
Nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kwa sababu viongozi wengi wa bara la Afrika ni vibaraka wa mataifa ya ulaya, kazi yao kubwa ni kutekeleza maelekezo ya mabwana zao kutoka Ulaya, hawana kbs...
Wanajamii,
Huyu jamaa ni mtanzania au mkenya? maana ana jiamini na anaongea live bila chenga kwamba kuna mawaziri wana mhujumu Raisi na Hawampendi Samia ila wana msabotage kujiandaa na ichaguzi...
Wakati Vita iliposimama Putin wa Russia aliongea direct na Viongozi wa Hamas na raia wake wenye Uraia Pacha na Israel wakaavhiliwa
Hapa kwetu niliona Waziri Makamba ametweet kwamba aliongea na...
Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa.
Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi...
Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo...
Mkiambiwa muwe mnaelewa!
Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣
Hasa wewe johnthebaptist
Wengine hawa hapa
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI
UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe...
Wana Jamvi,
Kwa heshima kubwa nimeona niletee Mahojiano haya na Baba Mzazi wa Ndg yetu Daktari Hamisi kigwangallah akiomba Msaada wa Matibabu.
Nimeamua kuyaleta hapa Mimi ni member wa jukwaa la...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed O. Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Adolf Ndunguru kutengua uteuzi wa Kaimu Mganga Mkuu
wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (President"s Manufacturer of the year Awards) leo tarehe 17 Desemba...
Watu wengi wanakosea kudhani kama ulinunua cheti cha mtoto maskini aliyeshindwa kuingia Kidato cha kwanza licha ya kufaulu basi Wewe ulifaulu kwa akili zako kuanzia Form One hadi ulipoishia...
Great thinkers.
Mlio karibu na mama wa kuupiga mwingi, Mwonyeshi haka kavideo jambo aweze kujifunza kitu.
Hivi ndivyo kiongozi unapaswa kuwa siyo kupapasa na kupuliza.
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti
Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata...
TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita.
TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini.
Chini ya...
Pale Mahakama ya Kisutu Kuna kesi nyingi za Uhujumu Uchumi zinazowahusu watendaji mbalimbali wa Serikali huku zikiendelea kutajwa tu huku Upelelezi ukiwa haujakamilika!!
Kuna watendaji kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.