1990s palitokea uchaguzi mdogo wa Diwani pale Manzese Upinzani ukawakilishwa na Dkt. Masumbuko Lamwai

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,104
Najikumbusha Tu viwango vya Wagombea wa Upinzani miaka ile ya Mwanzo kabisa ya Upinzani na sasa

Kwa kifupi Dr Lamwai wa NCCR mageuzi alishinda kile Kiti

Leo CCM inazoa viti vyote 23 kiulaini kabisa

Siku zinavyosonga Upinzani unazidi kudorora

Ramadan Mubarak 😄🔥
 
Ramadan Mubarak
1990 upinzani uliwakilishwa na Dr. Lamwai.
Vyama vingi vya siasa na upinzani ulipitishwa rasmi 1992.
Ume-generalize au kalamu imeteleza?
Anyway, all in all, Dr. Lamwai alikuja kurudi CCM na akafia huko. Asante.
 
1990s
 
Najikumbusha Tu viwango vya Wagombea wa Upinzani miaka ile ya Mwanzo kabisa ya Upinzani na sasa

Kwa kifupi Dr Lamwai wa NCCR mageuzi alishinda kile Kiti

Leo CCM inazoa viti vyote 23 kiulaini kabisa

Siku zinavyosonga Upinzani unazidi kudorora

Ramadan Mubarak 😄🔥
Umebugi meeenn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom