Ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mdogo ni kuimarika kwa mbinu mpya ya wizi wa kura

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Hakika nichukue nafasi kuipongeza CCM, tume yake ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi kwa kusimamia kwa umakini mkubwa uchaguzi mdogo na kupelekea CCM kupata ushindi wa kishindo ukiwa ni ishara ya kuimarika kwa mbinu mpya za uibaji kura.

Kutokana na ushindi huo kupatikana baada ya kura feki kikamatwa za mgombea wa ccm ni wazi uchaguzi wa 2024 na 2025 CCM itashinda kwa asilimia nyingi sana.

Huo ndio uchaguzi wa haki na huru.

Hongera CCM kwa ushindi.
 
Wezi wa kura ndio wezi wa mali za umma, wapo kuanzia ikulu mpaka mitaani.
 
Hakika nichukue nafasi kuipongeza CCM ,TUME YAKE ya UCHAGUZI na VYOMBO vya ULINZI kwa kusimamia kwa Umakini mkubwa Uchaguzi Mdogo na kupelekea CCM Kupata USHINDI wa KISHINDO ukiwa ni Ishara ya KUIMARIKA kwa Mbinu Mpya za UIBAJI KURA.Kutokana na USHINDI huo kupatikana baada ya KURA FEKI KIKAMATWA za Mgombea wa CCM ni wazi UCHAGUZI wa 2024 na 2025 CCM itashinda kwa Asilimia nyingi sana.HUO ndio UCHAGUZI wa HAKI na HURU
Hongera CCM kwa Ushindi .
CCM in mbinu 350 za ushindi. Mpka leo imetumia 4 tu. Je vyma vingine vitashinda kweli
 
Back
Top Bottom