Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
943
4,458
Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination.

Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini wameshiriki kwenye hili? Wameshiriki kwa lengo la kuandaa wakina nani?

Je, chuo cha SAUT kitadahili mwanafunzi wa Divinity kwenye kozi gani? Baada ya kuhitimu chuo huyu anakwenda kupata fursa gani ya ajira kwa ujuzi wake?

Nijuavyo mimi mapadre na masista wapo wa kutosha, data zipi zimetuambia tuna tatizo la divinity kidato cha tano na sita?

Pia soma
 
Mbona kuna vyuo vya elimu ya juu hapa.nchini vinafundisha masomo ya dini?
Na sio kweli.kwamba wale wote wanaosomea masomo ya dini wanakuwa mapadri/mashekhe au masista.
Kama kuna vyuo vya elimu ya.juu vinafundisha masomo ya dini sioni shida Kwa wanafunzi kuanza kuwekewa.mfumo rasmi wa kubobea Kwenye masomo hayo ya dini kuanzia ngazi za chini.
Cha msingi wanafunzi wasilazimishwe kwangu mimi sioni tatizo kuwa na hizo kombination
 
Back
Top Bottom