Mrisho Gambo atakiwa kuripoti ofisi ya DC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,243
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM, Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini, huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa, huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion.

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru.

Ama kweli dunia ni duara, leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine, naye anaitwa kujieleza!

Daaah!
 
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM , Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini , huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa , huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion .

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru

Ama kweli Dunia ni Duara , leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC Kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine , naye anaitwa kujieleza !

Daaah !
Christmas Chungu
 
Hizi sinema za Ccm huwa zina furahisha sana. Hivi mna waonaje? Watanzania? Ofisi za mbunge ziko jengo la Mkuu wa wilaya. Bado mna tuhadaa ati kapewa wito. Ujinga mtupu
Wewe jamaa ni mjinga mno. Hata zingekuwa kwenye chumba kimoja lazima taratibu za kikazi zifuatwe. Serikali inafanya kazi kwa maandishi. Au ulidhani serikalini ni kama kijiweni kwenu?
 
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CCM , Ndugu Mrisho Gambo amepelekewa waraka wa kufika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa Arusha Mjini , huku akitakiwa kuwataja kwa Majina watu wa Serikali ambao alidai walitaka kumvamia mara kadhaa , huku wakiwa wamebeba Condom na Lotion .

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Gambo alitangaza hadharani kwamba anawindwa na watu wa serikali kwa lengo la kumdhuru

Ama kweli Dunia ni Duara , leo Mrisho Gambo aliyekuwa anatukana wenzake akiwa DC Kwamba wana digrii za nguo za ndani na baadaye kuwa RC aliyedhalilisha viongozi wengine , naye anaitwa kujieleza !

Daaah !
Amtaje huyohuyo mkuu wa wilaya na timu yake
 
Back
Top Bottom