Waziri Nape Nnauye awateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Machi 21, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
photo_2024-03-21_21-17-06.jpg
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi na Bw. Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi.

Wajumbe hao ni:-
1. Prof. Aloys Ntaturo Mvuma - Mjumbe
2. Dkt. Hanifa Twaha Masawe - Mjumbe
3. Dkt. Irene Charles Isaka - Mjumbe
4. Bw. Mohamed Ame Makame - Mjumbe

Aidha, uteuzi huo umeanza leo tarehe 21 Machi, 2024 kwa kipindi cha miaka mitano (5).
 
Nape na kichwa yake mbovu hiyo ametumia vigezo gani kuwapata hawa wajumbe? Kilaza huwa anateua kilaza mwenzake.

Business as usual!
 
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi na Bw. Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi.

Wajumbe hao ni:-
1. Prof. Aloys Ntaturo Mvuma - Mjumbe
2. Dkt. Hanifa Twaha Masawe - Mjumbe
3. Dkt. Irene Charles Isaka - Mjumbe
4. Bw. Mohamed Ame Makame - Mjumbe

Aidha, uteuzi huo umeanza leo tarehe 21 Machi, 2024 kwa kipindi cha miaka mitano (5).
Do kumbe pimbi naye huwa na mamlaka ila tuna shida sana eti nape naye ni waziri

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003 amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Dkt. Jones A. Kilimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi na Bw. Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi.

Wajumbe hao ni:-
1. Prof. Aloys Ntaturo Mvuma - Mjumbe
2. Dkt. Hanifa Twaha Masawe - Mjumbe
3. Dkt. Irene Charles Isaka - Mjumbe
4. Bw. Mohamed Ame Makame - Mjumbe

Aidha, uteuzi huo umeanza leo tarehe 21 Machi, 2024 kwa kipindi cha miaka mitano (5).
Wakasikilize kesi sasa dhidi ya Dstv kuhamisha hamisha channel kwenye vifurushi vyake bila taarifa wala makubaliano na mteja
 
Back
Top Bottom