Moja ya sababu ya kuingiza somo la kiislam ktk tahasusi ni kuaanda mazingira lugha ya kiarabu iwe ya lazima kuanzia ngazi za chini hadi juu

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,987
8,360
Watanganyika safari hii wamenasa

Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......)

Walianza na ngorongoro

Wakaja na bandari

Wakaja kwenye mabasi ya mwendokasi wanapewa waarabu

Kwenye media ( wameua media za kizalendo wameziinua media zinazomilikiwa na watu wenye asili ya kule

Kwenye usalama walishapewa nafasi

....

Ilibaki kwenye elimu tu

Elimu ndio moyo wa nchi , ukitaka kubadilisha utamaduni wa nchi wewe pasua moyo/elimu

Elimu ya Tanzania ndani ya miaka mitano itabadilishwa kabisa iendane na maudhui ya nchi za kiarabu

Inasemwa nchi za kiarabu zimeahidi kuidhamini serikali iliyopo madarakani kuajiri waalimu wa wa somo la kiislam na kiarabu kila shule Tanzania

Lengo la kudhamini somo la kiislam na kiarabu ni la kimkakati zaidi kwa waarabu na mwaswaiba wao

Waarabu wanaamini Tanzania ndio lango lao la kupita ili kufanikisha lengo lao ktk ukanda wa afrika mashariki na kusini...

...
Unaweza kuamini viongozi wakuu waliokalia viti vya taasisi nyeti za nchi wanakaa ofisini wanapanga mambo ya udini?

Hii sio dalili nzuri tunaelekea shimoni

Nyerere alimzuia mwinyi kuingiza mambo ya dini kuongoza nchi

Lkn kwa sasa Nyerere hayupo
 
Sasa si bora wafundishwe hicho kiarabu kuanzia primary
 
divinity kwa nini isiwe ndo islam au christian .
ina maanisha divinity imewekwa kwa wakristo yani kama ni kuwazalilisha.
maana ni uungu na walivo washenzi wao wakajiwekea jina lao yani islam kila combination
 
Mi nazan ni kwa pande zote uisilamu utafundishwa na ukristo utafundishwa kwahiyo hamna shida
 
Watanganyika safari hii wamenasa

Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......)

Walianza na ngorongoro

Wakaja na bandari

Wakaja kwenye mabasi ya mwendokasi wanapewa waarabu

Kwenye media ( wameua media za kizalendo wameziinua media zinazomilikiwa na watu wenye asili ya kule

Kwenye usalama walishapewa nafasi

....

Ilibaki kwenye elimu tu

Elimu ndio moyo wa nchi , ukitaka kubadilisha utamaduni wa nchi wewe pasua moyo/elimu

Elimu ya Tanzania ndani ya miaka mitano itabadilishwa kabisa iendane na maudhui ya nchi za kiarabu

Inasemwa nchi za kiarabu zimeahidi kuidhamini serikali iliyopo madarakani kuajiri waalimu wa wa somo la kiislam na kiarabu kila shule Tanzania

Lengo la kudhamini somo la kiislam na kiarabu ni la kimkakati zaidi kwa waarabu na mwaswaiba wao

Waarabu wanaamini Tanzania ndio lango lao la kupita ili kufanikisha lengo lao ktk ukanda wa afrika mashariki na kusini...

...
Unaweza kuamini viongozi wakuu waliokalia viti vya taasisi nyeti za nchi wanakaa ofisini wanapanga mambo ya udini?

Hii sio dalili nzuri tunaelekea shimoni
Wewe upeo wako ni mdogo Sana, kiarabu ni lugha kama zilivyo lugha zingine mbona tunasoma kiingereza, kichina, french husemi
Hii ni fursa Tena ikibidi lugha ziongezwe zaidi
Kwa akili Yako fupi umehusisha kiarabu na uislam pumbavu kabisa
Kwani wawekezaji wa kikristo wanaotoka middle east wanaongea lugha gani?
Wakristo wa kiothodox hapa Egypt waliokuja hapo kujenga bwawa la umeme wanaongea lugha gani
Kiarabu IPO katika lugha kubwa zinazotumika duniani
Tena tumechelewa, tunahamasisha watalii hasa kwenye hunting na wateja wakubwa ni waarabu tunaongea nao VP
Kwenye mambo ya inteligencia tunatumia gharama kubwa kupeleka watu wakajifunze lugha tu kitu ambacho tunaweza kufundishana hapa
Tunahitaji afisa wa takukuru akikuta wachina, waarabu, wahindi, wazungu wanaongea ajue wanaongea Nini
Mkarimani analipwa na kampuni unayoifanyia kazi unahisi atatafsiri Kwa niaba Yako au anayemlipa
 
Angalia vitu ulivyokuwa hauelewi. Maarifa ya uislamu ni somo lingine na kiarabu ni somo jingine. Vitu viwili tofauti. Fuatilia hata ratiba za mitihani ya taifa ya nyuma utaona imeandikwa islamic knowledge kama somo na arabic language kama somo.
Ombeni na nyie kwenye mtaala muwekewe hebrew language ya agano la kale na koine greek la agano jipya.
 
Bwana ''Uwe Hodari'' naona hulitendei haki jina lako.Hauko hodari kuchanganua vitu.Nchi hii toka tupate uhuru serikali iliingia maelewano na Kanisa wakatengeneza memorandum of understanding katika masuala ya afya na elimu.
Kukawa na kamati za elimu kila wilaya za Tanzania bara.Sasa matokeo ya darasa la saba yakaamuliwa sio kwa ufaulu wa wanafunzi bali kwa maamuzi ya kamati.Na zile kamati kila wilaya alitoka Padri kama mjumbe wa kuwakilisha wilaya hiyo.Hakuna shekhe aliewakilisha waislamu ni Padri tu aliwakilisha kanisa ! .Na ukifuatilia utakuta watoto wengi sana wa kikiristo ndo walikuwa wakipata nafasi za kuendelea na masomo ya sekondari na elimu ya juu !na ndo maana hata nafasi nyingi za kazi serikalini zinashikiliwa na wakristo.Kiufupi serikali ya Julius Nyerere ilitengeneza mkakati huo wa kuwainua wakristo na kuwadidimiza waisalamu na shule nyingi za kiislamu na taasisi za kislamu zenye nguvu zilifungwa na viongozi waliokuwa na misimamo walifungwa au walitikiwa kizuizini kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani.Waislamu wakaishia kwenye madrasa na kuzurura mitaani !
Sasa usitukumbushe huko tulikotoka !
 
Watanganyika safari hii wamenasa

Kuna kukundi kipo nyuma kimedhamiria kuibadilisha Tanzania iwe ya mrengo fulani (......)

Walianza na ngorongoro

Wakaja na bandari

Wakaja kwenye mabasi ya mwendokasi wanapewa waarabu

Kwenye media ( wameua media za kizalendo wameziinua media zinazomilikiwa na watu wenye asili ya kule

Kwenye usalama walishapewa nafasi

....

Ilibaki kwenye elimu tu

Elimu ndio moyo wa nchi , ukitaka kubadilisha utamaduni wa nchi wewe pasua moyo/elimu

Elimu ya Tanzania ndani ya miaka mitano itabadilishwa kabisa iendane na maudhui ya nchi za kiarabu

Inasemwa nchi za kiarabu zimeahidi kuidhamini serikali iliyopo madarakani kuajiri waalimu wa wa somo la kiislam na kiarabu kila shule Tanzania

Lengo la kudhamini somo la kiislam na kiarabu ni la kimkakati zaidi kwa waarabu na mwaswaiba wao

Waarabu wanaamini Tanzania ndio lango lao la kupita ili kufanikisha lengo lao ktk ukanda wa afrika mashariki na kusini...

...
Unaweza kuamini viongozi wakuu waliokalia viti vya taasisi nyeti za nchi wanakaa ofisini wanapanga mambo ya udini?

Hii sio dalili nzuri tunaelekea shimoni
Sahihh kbsaa nimeona dalali zote za kujifanya taifa Hili liwe la kiisalmu
 
Back
Top Bottom