Hili la kuliwa hela za Halmashauri halikuanza leo ndio kaburi la hela za mikopo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,730
218,302
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa

Screenshot_2024-03-28-15-56-53-1.png
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Huwa naomba kila siku hili BLANKET vichwani mwa Watanganyika litoke..hakika MOTO utawaka
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Wewe una uraia wa wapi Burundi Si uonyeshe mfano ukawatandike bakora hao waliogawana hizo Billion kwenye vikundu hewa
 
Wananchi wa Tanzania wamelala sana. Wanaona kama suala la ubadhirifu wa fedha za umma haliwahusu, wako bize na mijadala ya Simba na Yanga pamoja na umbea wa Nyalandu.

Mxiuuuuuu!! Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.
Ungezaliwa jike alafu mi dume nikupige Pipe. Wazungu wangekuita Manunu.
 
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa

View attachment 2947453
Uwakute Sasa huko mikoani wanavyonyanyasa wafanyabiashara Wadogo kumbe majizi Makubwa. Nitashangaa Halmashauri za Mafinga, Mbozi, Nkasi na Sumbawanga zikikosekana kwenye risti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom