Dibwi Method
Member
- Nov 22, 2021
- 31
- 28
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu ambalo Sidhani kama kuna yeyote humu angeishia kutazama ajali hiyo na yuko kwenye nafasi ya kusaidia.
Hii trend ya kuwa na heroes waliookoa watu ni ka-mchezo tu Serikali inacheza ili kuwatoa watu kwenye reli ili wasijadili mambo ya msingi ambayo kama sauti zingepazwa vyema, vibarua vya baadhi ya viongozi vingeota mbawa.
Binafsi nilitegemea kuona maandiko na mijadala ya kutosha yakimsuta yule Mtu aliyezuia kuvunjwa kwa kioo cha ndege kwani kama ingefanyika hivyo, huenda idadi ya waliookolewa ingezidi 24.
Nilitegemea kuona sauti zikipazwa ili viongozi wanaoguswa moja Kwa moja na uokozi wawajibishwe. Ngege haikuanguka katikati ya Ziwa, pale ilipoanguka sio mbali sana na Bandari, Airport, Makazi ya Mkuu wa Mkoa, n.k. Kushindwa kwao kufika Kwa wakati na kuokoa watu ndo taarifa iliyopaswa kutawala maandiko mengi ili wawajibishwe.
Inaumiza sana kuona Kwa siku chache zilizopita watu wanawekeza nguvu nyingi kuibua watu waliosaidia ili tu wasaidiwe au watambulike..it makes no sense!! They played their part as human beings because they were in a position to. Kindness should neither be for recognition nor for monetary reasons.
Hii ni sinema inayochezwa na baadhi ya wenye mamlaka ili tusijafili adhabu stahiki na CHANZO kilichopelekea vifo vya watu 19 kizembe.
The spotlight game ain't worth playing, let's focus all our efforts on making those responsible, pay for their wrong misdeeds.
Naamini waliopoteza ndugu zao wangependa kuona walioshindwa kufanya kazi zao kwenye usaidizi wakiwajibishwa, TUACHE yada-yada na tushike mambo ya msingi ili haki itedeke!