Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .