Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeona data zinamwagwa hapa kuhusiana na mkutano wa CCM kule Dodoma .Katika mkutano wao huo baadhi ya watu walisimama wakaongea na mmojawapo ni ndugu Lowasa .Lowasa alitamka jambo bayana juu ya...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Posted Date::6/17/2008 Huu ulikuwa ni mradi mwingine wa fisadi Mkapa alioufanya akiwa amebakisha miezu mitatu kumaliza awamu yake. Wakala alikuwa ni yule yule mhindi aliyelipwa 'commission' ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
2008-06-18 09:19:52 Na Simon Mhina Askofu Mkuu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship amesema wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, wamelidhalilisha Taifa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Protesters take 65 police, general hostage in Peru 57 minutes ago LIMA (AFP) — Thousands of protesters demanding a greater share of economic benefits from mining operations overwhelmed riot...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Huko kwetu Usukumani, Uchawi na dalili zake, hupewa adahabu ya kimya -kimya. Mapanga! Naomba Chenge arudishwe Shinyanga ili safari hii asipokelewe kwa sifa, bali kukatwa mapanga. Au atahama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda mfupi uliopita mbunge wa Karatu amechangia hotuba ya bajeti. -Ameonyesha jinsi vitabu vya serikali vya matumizi na vile vya mapato vinavyotofautiana kwa zaidi ya bilioni 130 wakati...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Tishio jipya CCM na Martin Malera, Dodoma Tanzania Daima~Sauti ya Watu KIKAO cha Bunge la Bajeti kiliendelea mjini Dodoma jana huku upepo wa kisiasa ukionekana dhahiri kuendelea kukigawa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mhe. Mkulo sasa azidi kubanwa 2008-06-18 16:25:32 Na Mwandishi wetu, Dodoma Siku chache tu baada ya kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2008 na 2009, Waziri wa Fedha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A CLOUD OF ANNOINTING. A cloud of annointingfor wealth is hovering over the land ofTanzania.It is a thick cloud like the one appeared to the Israelites in the desert,this is a cloud of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Where do I get decent juju? Adamu Lusekelo Daily News; Wednesday,June 18, 2008 @00:06 I thought Bagamoyo was the place to go when you want to zap someone with juju. But my spies tell me...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mheshimiwa Philip Marmo katangaza kuwa wabunge wote ambo ni Wakurugenzi kwenye Mashirika ya Umma wataondolewa ili Kupisha accountability yao bungeni. Ya kweli haya ama ni kiini macho kama kawaida?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM Kuongeza kiwango cha MadiniBy Mike Mushi | Published 11/26/2005 | Habari Mpya | CCM Kuongeza kiwango cha Madini Chama Cha Mapinduzi kinakusudia kuongeza kiwango cha thamani ya madini...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimewaletea BAJETI YA UPIZANI KAMA ILIVYOSOMWA LEO BUNGENI NA KIONGOZI WA UPINZANI.
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Ukiangalia mfululizo wa matukio hapa bongo, naanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda baba wa taifa aliharakishwa kufikia mwisho wake kutokana na sababu zifuatazo - kuna watu walijiandaa kungia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu Bw. Salva Rweyemamu ameviasa vyombo vya habari kuacha kuandika habari za kushabikia uchawi kwani vinaweza kutishia...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Govt bans daladalas from Dar city centre By Mkinga Mkinga and Sara John THE CITIZEN All public transport minibuses will be banned from entering Dar es Salaam's city centre from August 1...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bajeti ya Serikali ya Zanzibar kusomwa leo Na Salma Said, Zanzibar BAJETI ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ya mwaka wa fedha wa 2008/09 itasoma leo jioni kwenye Ukumbi wa Baraza la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuugua Dk. Mwakyembe: Wazee waja juu...! 2008-06-17 14:57:25 Na Thobias Mwanakatwe, PST - Kyela Siku chache tu baada ya Mbunge wa Jimbo la Kyela, Mhe. Dk. Harrison Mwakyembe kuugua...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wapinzani waibua tena suala la BoT Stella Nyemenohi, Dodoma Daily News; Tuesday,June 17, 2008 @00:01 Sakata la ujenzi wa majengo ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeibuliwa tena bungeni na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Change in mining taxes put on hold By The Citizen Reporter and Agencies THE CITIZEN Tanzania has postponed the introduction of sweeping changes in the country's tax regimes. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom