Lowasa alitamka jambo hadharani ndani ya NEC je ni neno lipi ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,874
1,894
Tumeona data zinamwagwa hapa kuhusiana na mkutano wa CCM kule Dodoma .Katika mkutano wao huo baadhi ya watu walisimama wakaongea na mmojawapo ni ndugu Lowasa .Lowasa alitamka jambo bayana juu ya nani ana own Richmond nakusema kwa nini alijiondoa uwaziri mkuu .Je nyie wanyetishaji mbona hamsemi jambo na alimwambia nani hadharani bali tunapokea habari zingine ? Haya naondoka nimesha anzisha wenye data wazimwage hapa .Lowasa alitamka nini ?
 
Mbona wewe unaogopa kusema? Si useme aliongea nini? Kwani ni lazima akina fulani tu kuleta data?
 
Afadhali umeuliza.... Ameongea kama mtoto wa nursery na mambo ya niseme nisiseme??????????? Sometime inaboa kubip mambo mazito
 
Moderator, I see you ahve added something in our profiles (avatar)... Whats up??????
 
Afadhali umeuliza.... Ameongea kama mtoto wa nursery na mambo ya niseme nisiseme??????????? Sometime inaboa kubip mambo mazito

Nitasimama pale pale maana ndivyo ninavyo pasha watu habari .Narudia kuuliza je lile neno ni lipi alilosema kwa kusema kwamba Mimi si Fisadi na wewe Mwenyekiti unajua kwamba mimi ni safi ila nili............................................ili kuinusuru CCM na ................................................

Sasa wandishi nyie mnatuletea habari kibao lakini haya machache ya Lowasa hamyasemi kwa nini ?
 
Lunyungu,
Tumalizie basi kama unazo info. Yaani alijiuzulu kuinusuru CCM kana kwamba yeye katolewa kafara wakati akijua kuwa hata Mkulu ni fisadi wa Richmond?
 
Ni jambo nzuri tukijua ndugu Lunyungu,kwa kuwa watoa habari wameleta habari ktk mfumo wa point of interest ama wamesahau kipande hicho au ndio wako baised,basi tufunulie yalioachwa.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Amesikia labda fununu sasa anataka watu wa dataz watoe and mwishoni achukue credit ya first to scoop
 
no HUENDA ANATAKA KUTHIBITISHA HABARI ALIZOZIPATA KUZISIKIA KAMA ZIKO SAHIHI

SASA KAMA YUKO ANAEJUA NA AWEKE NNAAMINI NA YEYE ATATWAMBI AU ANATEGA KITENDAWILI SI MNAKUMBUKA ENZI ZA KITOTO KITENDAWILI TEGA HALAFU TUKIKOSA TUMPE MJI AU VIPI WAUNGWANA?
 
Sasa wandishi nyie mnatuletea habari kibao lakini haya machache ya Lowasa hamyasemi kwa nini ?

Mkuu Lunyungu,

Ninatka kuamini kuwa wewe ni mtu mzima, mimi ndiye niliyeleta dataz nyingi za mkutano, na kuna nyingi ambazo sikuzipata, hapa hakuna mashindano ila tunaelimishana na kuhabarishana, kama una dataz ziseme kama huna acha mkuu, lakini tusitafutane uchawi,

Siwezi kuleta dataz ambazo sina, unajua huwa sipendi mambo ya kuzungukana maaana sisi wote watu wazima hapa, wewe ni kuweka straight kwangu, kwa sababu the buck stops here. Kama una dataz ziweke hapa uelimishe watu hapa hakuna mashindano ya dataz, ila ni kuhabarishana na kuelimishana! kama lowassa alisema ina maana alisema kama una uhakika kwa nini usiweke?

Ahsante mkuu!
 
lunyungu acha utoto,kama una cha kusema sema na kama huna just shut up..na hapa game 6 ndio inataka kuanza hope ma homie KG leo leo ataibuka kidedea,haya time for Heineken!
 
Nitasimama pale pale maana ndivyo ninavyo pasha watu habari .Narudia kuuliza je lile neno ni lipi alilosema kwa kusema kwamba Mimi si Fisadi na wewe Mwenyekiti unajua kwamba mimi ni safi ila nili............................................ili kuinusuru CCM na ................................................

Sasa wandishi nyie mnatuletea habari kibao lakini haya machache ya Lowasa hamyasemi kwa nini ?

hujaacha tu utoto ?? najua ulitaka traffic ulipoandika lowassa katika hii thread !
 
lunyungu acha utoto,kama una cha kusema sema na kama huna just shut up..na hapa game 6 ndio inataka kuanza hope ma homie KG leo leo ataibuka kidedea,haya time for Heineken!

ahhh ! basi bana ! ushanoboa ! kila mtu garnett, garnett ! hivi ana nini huyu ?lol/////////////lol !LOL
 
Ni jambo nzuri tukijua ndugu Lunyungu,kwa kuwa watoa habari wameleta habari ktk mfumo wa point of interest ama wamesahau kipande hicho au ndio wako baised,basi tufunulie yalioachwa.

Natanguliza shukrani zangu.

huyu ndio lunyungu bana, utoto mwiiingi na kuponda kwa saana ! hana la maana, watch out !
 
no HUENDA ANATAKA KUTHIBITISHA HABARI ALIZOZIPATA KUZISIKIA KAMA ZIKO SAHIHI

SASA KAMA YUKO ANAEJUA NA AWEKE NNAAMINI NA YEYE ATATWAMBI AU ANATEGA KITENDAWILI SI MNAKUMBUKA ENZI ZA KITOTO KITENDAWILI TEGA HALAFU TUKIKOSA TUMPE MJI AU VIPI WAUNGWANA?

mzee huyu lunyungu hana lolote la maana na huwa hana dataz, yeye huwa mzuri sana katika kucopy na kupaste, halafu huwa hatoi maoni yoyote kuhusiana na atakachocopy !The kid is a sell out !! Nothing Else!!
 
...quater ya kwanza kwisha,naona lakers leo kiama maana hawana zile 20 points ahead za first Q.

nimeona kheri nizime tv, game ikiisha nijue scores maana nikisema niangalie, ntaweza kuishia kugonga meza tu !
 
Usizime TV. Garnett anaongoza 58-35 halftime. Ushindi ni wa mashariki mwaka huu.
 
Aisee jamaa LA wanapelekeshwa ile mbaya....naona Phil anafoka ile mbaya, maji shingoni leo

Mkuu FMES,

........safi sana, mambo ya kubembelezana/kuzungukana yamepitwa na wakati
 
Kwenye kandanda fainali iwe Netherlands vs Portugal ili tupate uhondo wakati huu mgumu ambapo hakuna good news kabisa except for Obama's leading on polls vs Mc Bush
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom