Malimu alibalaliwa?

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,918
15,052
Ukiangalia mfululizo wa matukio hapa bongo, naanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda baba wa taifa aliharakishwa kufikia mwisho wake kutokana na sababu zifuatazo
- kuna watu walijiandaa kungia madarakani (Ikulu) kwa kipindi cha miaka kumi, na wasingeweza kufanikisha lengo lao kama mwalimu angelikuwa hai, hilo halina ubishi
- kuna kundi la viongozi lililodhamilia kujitajilisha kifisadi nalo lisingefanikisha kama JK Nyerere angekuwa hai
Haya yote mawili ni makundi pacha. tumejionea wenyewe yaliyotokea baada 1999
Hebu fikiria matukio kibao ya kifisadi kama mwalimu angekuwa hai si watu (Wakubwa) kibao wangeisha umbuliwa?
Nina wasisi mzee wetu alibalaliwa ndio maana ugonjwa wake ulikuwa siri mpaka alipozidiwa ndipo tukajulishwa - huo ndio ujinga wangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom