Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM HOVYOHOVYO, UPINZANI HOHEHAHE, TANZANIA SHAGHALABAGHALA... nini hatima ya nchi hii kwa mwendo huu jamani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini hii sakata ya kutoa waraka (Nyaraka) na taasisi za kidini, na hapo hapo hapo wanasiasa wapinga jambo hilo, matokeo yake malumbano yanaanza. Hivi kati ya; 1.Taasisi za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika kile kinachoelezewa kama umbu umbu na kutoona mbali kwa viongozi wa SMZ,imegundulika kuwa ni wao waliochangia hatua ya Marekani kuwakataza raia wake kutembelea Pemba kwa kile kilichoelezwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mojawapo ya matatizo ya kisiasa nchini kwetu ni kufanya vyama vya saisa kama sehemeu ya kupatia ajira ya kudumu au mradi wa ukoo fulani. Kwa mfano, tangu nimeisikia CUF katika nyanja za siasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Viongozi wakuu wa nchi sasa kuzikwa Dodoma *wamo Rais,Makamu, Spika, Waziri Mkuu, Jaji MKuu Na Habel Chidawali, Dodoma VIONGOZI wa juu serikali akiwamo Rais, Makamu, waziri mkuu sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasifu mkubwa wa Ted Kennedy ni Utungaji sheria, kupigania maslahi ya walalahoi, na kubwa ni kitendo chake cha kugombea kuchaguliwa kuwa mgombea wa Uraisi akiwakilishe chama cha Democrats...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika Kipindi cha Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuja haja hapa JF kuweka sehemu maalumu kwa ajili ya kuwajadili wabunge wote wa mwaka 2010 ambao watagombea uchaguzi mwakani. Kuna ulazima wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kakobe: Upole wa JK hatari • Asema viongozi wa dini ndio chanzo cha ufisadi na Sophia Maghembe na Anitha Mkude ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amesema...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baba wa Taifa (Mwalimu Nyerere) alisema " “Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded.” Kwa hiyo hivi vinchi vyetu ambavyo ni maskini, sio kwa rasimali, bali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The former President of the United States, Bill Clinton labeled Arusha as the "Geneva" of Africa when he came to Arusha in 2000 to witness the brokered Burundi peace talks that was presided by...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
[...] In Tanzania, one African country with a relatively well established if slow public sector, the problem is not simply corruption. It is a form of institutionalised, legal time-wasting that...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Leo Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa tamko rasmi la Mkutano Mkuu wa Ndani ya Chama nalo ni kama ifuatavyo; TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
1K Replies
170K Views
Mbona jamaa kasema ukweli mtupu? Anafanya nini rumande? Na Mwandishi wetu (Nipashe) 2nd September 2009 Raia wa Iraq, Anney Anney, anayedaiwa kuwakashifu viongozi, amepelekwa rumande...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim, Lipumba amesema, kitendo cha uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuzuia matokeo ya uchaguzi wa Baraza la vijana la...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
President Jakaya Kikwete yesterday asked men to effectively support the newly established Tanzania Women's Bank (TWB) as part of efforts to empower women economically. He made the call in Dar es...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
CHADEMA imeamua kurahisisha maendeleo ya chama kwa kuingiza suala la teknolojia. Sasa CHADEMA imeanzisha E-Membership. Yaani Electronic Membership. Mtu akitaka kujiunga na CHADEMA aweza kujiunga...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ari Mpya, Kasi Mpya, Nguvu Mpya! Matokeo=Sifuri! Kilimo Kwanza, ndio wimbo mpya nao matokeo yake kuwa Sifuri!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Katika hali ya kustaajabisha kuna taarifa kuwa yule mwandishi wa habari na mmoja kati ya wamiliki wawili wa gazeti la mwanahalisi amekuwa katikajuhudi kubwa ya kutengeneza mazingira ya kugombea...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Nashangaa siasa za Ulimwengu huu.Hasa KENYA na TANZANIA. Mbona malalamiko mengi? Kila chama kinalalamikia chama kingine hata kama hawaonyeshi njia m'badala. Viongozi kulaumiana, Maamuzi kulaumiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Rosina John An Arusha-based businessman yesterday admitted before Kisutu Resident Magistrate's Court that he is the owner of a company which was used as conduit for stealing Sh2.2 billion from...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom