SIASA ni MALALAMIKO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIASA ni MALALAMIKO?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Exaud J. Makyao, Sep 4, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nashangaa siasa za Ulimwengu huu.Hasa KENYA na TANZANIA.
  Mbona malalamiko mengi?
  Kila chama kinalalamikia chama kingine hata kama hawaonyeshi njia m'badala.
  Viongozi kulaumiana,
  Maamuzi kulaumiwa.
  Sera kulaumiwa, n.k
  Au hiyo ndo siasa yenyewe?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Nchi zote ni hivyo kunapokuwa na vyama vingi.
  Hakuna jema linalofanywa na adui yako bana.
  Akishiba, kavimbiwa
  Akinywa, kalewa
  Akisema, karopoka!
  Ndio siasa, mbona hata America zilitawala sana, hasa wakati wa kampeni!
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  PAKAJIMMY,
  Ama kweli siku zote Paka na panya hupingana.
  Unadhani kuwa VYAMA VINGI NI MaTATIZO na kupotosha ukweli?
   
Loading...