SHAHADA za kupigia kura zinazokadiriwa kufikia milioni moja, zimeteketezwa kwa kuchomwa moto katika mazingira ya kutatanisha jijini Dar es Salaam.
Shahada hizo ziliteketezwa na watu wasiojulikana...
Rais wa pili wa Zanzibar Sheikh Aboud Jumbe anaishi Mji Mwema Dar es salaam, Sheikh Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya tatu ya Zanzibar naye anaishi Msasani Dar es salaam, Seif Sharriff Hamad...
Shahada za kura zachomwa moto
na Asha Bani
SHAHADA za kupigia kura zinazokadiriwa kufikia milioni moja, zimeteketezwa kwa kuchomwa moto katika mazingira ya kutatanisha jijini Dar es Salaam...
HABARI zinazotoka chunguni zikiwa bado moto kabisa ni kwamba sasa mafisadi wamenuia kwa udi na uvumba kuteka nyara na kumiliki kila kampuni inayohusiana na masuala ya simu na intaneti nchini...
Katika hali ya kushangaza mkuu wa Mgambo wa Ilala wakiwa katika mkutano pale mnazi mmoja muda mfupi uliopita amemfokea na kumfuza nje Mkuu wa Mgambo wa Ilala kwa madai kwamba mkuu huyo alikataa...
By Karl Lyimo
ONE OF THE LEAD STORIES in The EastAfrican in the past three months was about gross irregularities in procurement contracts by institutions under the Tanzania Ministry of Natural...
Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa...
Tamasha la jinsia, lilifunguliwa jana kwenye viwanja wa TGNP. Nashangaa kimya hakuna anayetupasha juu ya TAMASHA hili. Jana nilikwenda na leo nimekwenda. Kuna mada nzuri na za kufikirisha. Bado...
Written by Ramadhani Kupaza
There are numerous varieties of corrupt practices in Tanzania. The more apparent are corrupt practices that are based on bribery in the form of cash or in kind...
Kuna mdau aliniletea taarifa za kutisha kuhusiana na wilaya ya kinondoni mkoani Dar es salaam.Akaniambia wagombea wote wa Uraisi wa vyama vyote vya siasa wana nyumba na makazi yao ya kudumu wilaya...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE...
Kitimtim cha kura za maoni kwa ajili ya kupitisha wagombea wa CCM kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Oktoba mwaka huu kimezua maafa wilayani hapa baada ya kada mmoja maarufu...
Date: 9/8/2009
DC: Nyama iliyokamatwa ilikuwa kitoweo cha Mwenge
Na Waandishi Wetu
MKUU wa Wilaya ya Mvomero Fatma Mwasa, amesema kuwa nyama ya wanyama saba aina ya swala waliokamatwa na...
Nawapongeza chadema kwa mkakati mzuri wa kutafuta wanachama ndani ya nchi Tanzania.
Nashauri waanzishe na mkakati wa kuandikisha uwanachama wa Chadema kwa walioko nje ya nchi.
Nimefurahishwa na ugunduzi wa uranium kwa nchi yetu ya Tanzania ,naimani wananchi wa pande zote mbili watanemeka na utajiri wa madini hayo,la muhimu hapa ni kuangalia na kufuata taratibu...
Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika...
Date: 9/7/2009
Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Samir Lotto, akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma za kufanya shambulio kwa mfanyakazi wa mamlaka ya Maji mjini Morogoro...
Hello Wakulu,
Mi ni mgeni humu jamvini.Naomba ukaribisho.
Sasa kuna mpango wa kuanzisha Umoja wa vijana wenye mlengo wa Transformational state.Yaani umoja wa vijana utakao ibadilisha nchi katika...
Pengo: Nchi imeoza Tuesday, 08 September 2009 17:16 *Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza
*Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho
*Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu
*Katoliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.