tanzania womens bank: kwa nini gender descrimination kwenye biashara??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tanzania womens bank: kwa nini gender descrimination kwenye biashara???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semilong, Sep 5, 2009.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  1. jamani kwanini gender descrimination kwenye biashara?
  2. je ni yao ni kuwasaidi wanawake au kupata wateja kwa kutumia mgongo wa wanawake???
  3. kwani hiyo benk ingeshindwa kuitwa jina jingine alafu ikatoa huduma nzuri kwa wanawake na wanaume????
  4. je rais ni sahihi yeye ku-support gender descrimination kwenye biashara????
  5. je kuwa na bank ya wanawake ni kuwaongezea ushindani au ni kuwaambia kuwa hamuwezi kushindana na wanaume na hivyo kuwadumaza ushindani wao????
  6. je wanaume wasienda kufungua kwa ajili ya gender descrimination?
   
Loading...