SMZ Wamesema Wenyewe Kuwa Zanzibar Kuna Ugaidi: CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMZ Wamesema Wenyewe Kuwa Zanzibar Kuna Ugaidi: CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junius, Sep 6, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Katika kile kinachoelezewa kama umbu umbu na kutoona mbali kwa viongozi wa SMZ,imegundulika kuwa ni wao waliochangia hatua ya Marekani kuwakataza raia wake kutembelea Pemba kwa kile kilichoelezwa kuwa hali tete ya usalama.
  Mwanasiasa kijana machachari wa CUF Ismail Jussa Ladhu anaielezea hali hii kama ni uzembe wa viongozi wa SMZ ambao ndio walioilezea dunia kuwa kuna vitendo vya ugaidi vinavanyika Pemba na kudai kuwa wamegudua milipuko iliyokusudiwa kutumika katika harakati hizo za kigaidi.
  Endelea na story kutoka The Citizen story..........  The US last week advised American citizens against visiting Pemba.

  Commenting on the US reaction to Zanzibar minister�s remarks that Americans have a hidden agenda against the Isles, Mr Jussa said the government officials had themselves to blame for the Isles negative image.

  He said that statements such as those made by a Zanzibar minister suggesting that there were terrorist activities in Pemba, were the ones that raise an alarm in the international community.

  "Ministers should stop shaming this country. How can a minister issue a statement indicating there are terrorist activities in Pemba? What do you expect foreigners to react after such a remark?" he asked.

  There has been a hot debate over the recent US travel advisory, warning its citizen against visiting Pemba, with a Zanzibar state Minister, Hamsa Hassan Juma, saying the superpower has a hidden agenda against Zanzibar.

  US reacted quickly by saying other than wishing to see improvement in the political situation in Zanzibar, Americans have no other agenda on the Clove Islands.
  source: the citizen
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nimewahi kusema kuwa Waziri Hamza anaropokwa sana mpaka anavuka mipaka sasa wanawalaumu wamarekani kwa upuuuzi wao wenyewe?
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ndo miwaziri pumbafu ya CCM na siku zote yanafikiria kula leo tu eti ya kesho yatajijua! ujinga mtupu. Shame on you CCM and the SMZ.
   
 4. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huko ndiko kuyaruka maji machafu na kutumbwikia kwenye kinyesi.
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hakuna dhulma yenye kushinda.
   
 6. C

  Calipso JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  akili zao hazina akili,wanashiba matumbo tu.
   
Loading...