Tuanze kuwajadili wabunge Wapya wa mwaka 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanze kuwajadili wabunge Wapya wa mwaka 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josh Michael, Sep 6, 2009.

 1. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika Kipindi cha Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuja haja hapa JF kuweka sehemu maalumu kwa ajili ya kuwajadili wabunge wote wa mwaka 2010 ambao watagombea uchaguzi mwakani. Kuna ulazima wa kufanya hivyo ili tupate wabunge wa Kitaifa zaidi.
  Hapa tutaweza kupata wabunge na kuwajua kuwa wametokea wapi na wanafanya nini na hata tabia zao. wale wote mwenye moyo hata kuamua kugombea Ubunge, tunawajua baadhi yetu wapo humo ndani ya JF na wengine wapo kwa majina bandio. Sasa umefika wakati kujitokeza hadharani iwe CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-MAGEUZI, TADEA, DP, TLP na hata vyama vingine pia

  Kwa kufanya hivyo tutaweza kuwachunga, kuwauliza hata kuwajua kuliko ilivyo sasa, Je kama kuna mtu yoyote yule basi ajitoke sasa.
   
 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa Upande wa CHADEMA, Dr. Slaa huyu atashinda bila ya ubishi.tunaomba Mungu ampe afya njema kabisa na moyo wa ujasiri zaidi. Ni Mbunge wa Kitaifa na Baba wa Wabunge wengi Tanzania.
   
Loading...