Hatimaye nimepata Takwimu mpya za Elimu kwa mwaka 2009. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania wanafunzi kuingia Sekondari kwa wingi kama wakati wa kipindi cha Edward Lowassa. Historia...
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa...
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sana, inaelekea sasa ujenzi wa makao makuu ya EAC utaanza wakati wowote kuanzia sasa.
Ile parking ya magari ambayo wafanyakazi walioko kwenye jengo la AICC...
What we have witnessed in the past few days can be described as extremely shameful, disgraceful, and a clear evidence of a failed leadership. If I were to pin point the exact nature of this...
Habari nilizozipata toka ndani ya Kikao cha Tume ya Mapatano na Maridhiano ya CCM na wabunge wake kilichomalizika jana hapa mjini Dodoma, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, ametema cheche na kukubali...
"Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka...
Rafiki yangu ndugu Baha kaniletea hotuba hii ya Katibu Mkuu wa chama cha ANC.
Kutokana na yanayoendelea hivi sasa nchini kwetu. Ninaomba mpate muda kusoma hotuba hii ndefu kidogo. Ina mafunzo...
wakulu
Nimepata tetesi kuwa repoti ya richmond kutojadiliwa, kwani mh six yupo bize na mambo ya msiba ivo kurudi dodoma wiki ijayo kwa ajili ya kufunga bunge tu...TiaTia maji
Details please
Hiki chama cha Mwalimu
Hakina tena nidhamu
Tunu iliyo adimu
Nani wa kumlaumu?
Anayo heri Mwalimu
Kwani sasa marehemu
Kutoona udhalimu
Hakika leo kigumu.
Kimepoteza...
Jamani naomba msaada kidogo kwa hili...najua kwenye bunge letu majuzi wameteua mwakilishi wa bunge la sadc baada ya kifo cha ndugu yetu mpendwa rich nyaulawa...naulzia je huyu ndugu akienda...
Wakuu nimekuwa najiuliza sana kuhusu hii kamati ya Mwinyi. Was it intelligent to come up with such idea?
Hadidu za Rejea ni zipi?
Kama moja ya hadidu za rejea ya kutafuta chanzo cha...
Na Mussa Mkama
HATIMAYE mtambo mmoja wa kufua megawati 10 za umeme wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), umewashwa jana na kuingizwa kwenye gridi ya taifa.
Mtambo huo ni...
By KARL LYIMO
Nov 2009
From: The East African Magazine
Former Speaker of the Tanzania Parliament, Pius Msekwa, may yet emerge as one of the few top leaders in the ruling CCM who see the party as...
Dear All,
Ni matumaini yangu kuwa wote mnafahamu kuwa kampuni ya VODACOM ilianza shughuli zake rasmi hapa nchini mwaka 2000. Mpaka sasa ina wateja wasiopungua milioni 6.
Kitu cha kushangaza ni...
Bado inaonyesha viongozi wa miaka iliyopita lakini tarehe ni ya leo 07/11/2009. Najua baadhi ya viongozi wapo humu ndani badilisheni kwani mnazo fedha za kutosha kuajiri vijana waliomaliza IT...
Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo...
Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.