Kuna video nyingine ya wachungaji ilionyeshwagwa ya channel hiyo hiyo ya GTV. Inaelekea wapo anit-Nyerere. Simaanishi hawapo entitled to their opinion au kwamba Nyerere hapaswi kusemwa vibaya. Ila kituo cha "Gospel" kikiwa bias kiasi hiki ina sikitisha sana. Kinakua siyo kituo cha dini tena bali cha siasa. It is obvious they are promoting their own political agendas.
Hata Kiingereza hakipandi. Nyerere alaumiwe kwa kila kitu. Hata ukame aliusababisha yeye.
Na hata hivyo kiingereza kinachoongewa na waafrika wengi sio kiingereza ni lugha nyingine inayofanana na kiingereza.
MkamaP,
Kilichokuvutia ni nini? Naona jamaa hawezi hata kujenga hoja na hajui kujieleza. Laba mwenzetu umemuelewa, tueleweshe na sisi ili tujue anachotetea na msingi wa hoja zake.
Mkuu kwa kumsikiliza mbona ni kama ana laumu wakoloni na si Nyerere kama title ya thread inavyo sema. Au nime kosea?
Lakini angalau huwa tunaweza kuwaelewa. Binafsi nimejitahidi sana kumwelewa lakini sikuambua kitu.
Mwimbaji anamulaaumu Nyarere, yeye huyu jamaa anamtetea nyerere mimi ndivyo nilivyomuelewa ,lakini anajenga hoja vizuri.