Kamati ya MWINYI-NO BRAINNER or ABSOLUTE MADNESS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya MWINYI-NO BRAINNER or ABSOLUTE MADNESS?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bongolander, Nov 8, 2009.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wakuu nimekuwa najiuliza sana kuhusu hii kamati ya Mwinyi. Was it intelligent to come up with such idea?

  Hadidu za Rejea ni zipi?

  Kama moja ya hadidu za rejea ya kutafuta chanzo cha kutoelewana kati ya wabunge wa CCM, ni chanzo kipi ambacho hakijulikani mpaka kikaundiwa tume? Mafisadi, Pro-mafisadi na wanaowafuata VS Wapiganaji, pro-wapiganaji na wananchi tunaoibiwa kila kukicha. Kuna nini cha kutafuta hapa cha kuundia tume ambacho hatukijui?

  Members?

  Kinana, Msekwa Mzee Mwinyi. Really? seriously? can they do it? au kuna wengine ambao hawajatajwa? what was the criteria of selection. Kuna baadhi ya members wanapunguza kabisa uzito wa tume kwa kuwepo kwenye tume. Msekwa? kweli are we serious? au ndio hivyo tena tunaenda tu bora tufike 2010..

  Any guidelines on method of collecting opinion, grievancies and giving suggestions?

  Are they scientific, je kuna uhakika gani kama yanayosemwa ni kweli, na kuna utaratibu gani wa kuwafanya watu wawe accountable kwa wanayosema? Au ndio itakuwa kama mipasho ya taarabu tu, Au ndio yataenda hewani tu, style ya maneno ya Khadija Kopa na Nasma yanayoimbwa kwenye taarabu, yakisikika tu ndio basi?

  Kuna njia ya kuyahifadhi kitaalamu hayo yanayokusanywa, au ndio njia ile ya mwaka 1932 ya kutumia shajara na kalamu ya risasi?


  Kuna mtu gani aliyepewa madaraka ya kuwahoji, au kutoa amri ya kuwahoji watu tuliowachagua?

  Wakuu it sounds crazy, but these are kinda troubling questions?
  But the main question is, tatizo naona ni ufisadi, kwanini hii kamati isiwe na moja ya hadidu ya rejea ya kutaka kujua kwanini baadhi ya wabunge ni mafisadi au kwanini wanatetea ufisadi? Tatizo hapa ni ufisadi? au tatizo ni wabunge kutokuelewana?
  ???
   
 2. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Utaumiza kichwa chako bureeeee. Tulia
   
 3. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wewe bwana CCM inaendesha na idea za mzee aliyekwishajichokea sana brain bado ipoya miaka ya sitini. ndo maana kila wanachokujanacho wasomi na wenye uelewa kidogo wanashangaa sana how his come. Na sasa hivi kanyang'anya kituo cha mabasi ubungo tutasikia vituko vingi zaidi vinakuja kama matamko ya CCM. Kuna mzee mmoja Mwana alishawahi kusema "Tunatakiwa tuombe ili tukiamka asubuhi viongozi wetu wote wawe wamekufa ili tuanze upya"
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  Bwa haha hahaha!!!!bongo si kuna watu wanajifanya wachawi?? wawaloge basi wawachukue misukule wakalime KILIMO KWANZA au wachawi kazi yao ni kuua watoto tu na kuloga watu wa kipato cha kipato cha chini??
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahaha hahahahaha!!!!!!!!!! simple and clear. I like ths one!
   
Loading...