Shameful! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shameful!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 7, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  What we have witnessed in the past few days can be described as extremely shameful, disgraceful, and a clear evidence of a failed leadership. If I were to pin point the exact nature of this leadership I will term it as pathologically incompetent.

  Shame on Kikwete
  Shame on all MPs
  Shame on all you CCM members who have tolerated and excused this level of stupidity disguised as democracy in the party!
   
 2. Kikojozi

  Kikojozi JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 331
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Mwanakijiji.

  How could you possibly have expected a different outcome?
   
 3. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Probably, we put our hopes so high on these guys, I mean we are simply expecting too much of them, which is why we keep on being disappointed every day. Isn't time that we stopped putting our hopes on them? Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?

  To me I would rather say shame on us for continuing to bank on people who are not bankable. I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  unajua hawana aibu wala haya hawa, kwao ilimradi wanapata mkate wao wa kila siku, hawaoni tabu wala dhiki ambayo wananchi masikini Watanzania wanapata, kweli inaumiza, nimesoma maneno yako, ninapata picha ya mtu alievunjika moyo na kukasirika.
  Mimi naamini imepasa hayo kutokea kabla mwisho wa mwisho wao haujafika, hiyo ni mipango ya Mungu kuelekea kuangua kwa CCM, wanaharakati na wapenda mabadiriko ya kweli msie moyo, shikamaneni mikono ,msonge mbele kuikomboa nnchi yenu.
   
 5. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #5
  Nov 7, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  That is precisely the question!
   
 6. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  brilliant observation.....respect!!!!!
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkumbo, I salute you sir.

  whenever I try to think on what course should we use to try have the alternative I don't find it. Yes, you have said we are putting more expectations on these stupid fellows....but what do you think can be done if even the so called young ministers can do misirable things and abusing their offices??

  What will a mkulima in kasenga village in Biharamulo will do? if not putting his/her hopes on these guys though they are hopeless??

  All in all I do agree with you that we should look for alternative but my worry is the course that can be used efficiently with all of us including wakuma na wafanyakazi. Unless if we agree to have the military gov. because with the so called democracy.....never on earth in tanzania will prevail.

  CCM and its stupid, corrupt government are rulling the country as if we the people are blind folded, but which is not the case anymore. tanzaniana now know well what are their rights but CCM assumes we do not know.....now should we take the arms and start the fight??

  Look on what happend yesterday regarding the richmond, kiwira, TRL, and TICTS issues. the CCM government has delibaretly decided not to hand over the report to the Bunge just without giving reasons. Now if we want the report it means we have to start the fight and may be kill some of the CCM officilas, this may alert them that we are serious....

  We are tired and there are more to be done but......
   
 8. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli...
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Aibu sana.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Asante sana Kitila. Nililisema hili baada ya kushuhudia uchaguzi wa Busanda na Biharamulo, nililisema hili, nikaishia kutukanwa kuwa ninawatukana Watanzania.

  Came 2010, pamoja na yote haya, tutawapa tena miaka 5 mingine...na mingine.... na mingine....
  Kama mambo yenyewe ni hivi...CCM itatawala Milele!.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Ripoti hizo zote zilishakabidhiwa kwa Bunge, ila hazikuletwa mezani. Spika Sitta had to do what he could do to save his face, kama Mwanakijiji ilivyosema, ilikuwa wampigie kura ya kutokuwa na imani nae. RA ni mwisho, Sitta amebow down na amini nawaambieni hazitajadiliwa tena mpaka 2011, baada ya uchaguzi maana ni mtaji mkubwa kwa wapinzani, na Spika Sitta mwisho wake ni one term only.

  Bunge lilikuwa likutane kwa siku 9 full days. Siku ya kwanza nusu siku, mchana wakajipumzikia. Hivyo zikabaki siku 8. Baada ya kukutana siku 3, ya nne msiba, hii ni kazi ya Mungu tuiache. Baada ya msiba limekaa only one full day, siku mbili zilizofuata only morning session kupisha kama ya CCM!. Jana tukaambiwa limeongeza siku, lingekaa leo half day, Jumatatu na Jumanne kufidia lost days. Ghafla jana limeahirishwa bila kutolewa sababu!. Huwezi amini kati ya siku 9, limekaa only 4 full day sessions!.

  Spika Sitta sasa amedhihirisha udhaifu wake ama kuogopa na kuwapigia magoti mafisadi. Mtashuhudia one of these days, atakuja na press release yenye lame excuses na siajabu akasema mijadala hiyo imefungwa kabisa. Kusemakweli kukosekana kwa Zitto Bungeni sometimes kuna very big impact. Ingawa Hamad Rashid alikuwepo, Hamad ana too humility kwa makombora yaliyovurumishiwa Sitta, na Dr. Slaa upadiri ulimrudia ghafla, haswa kwa kuzingatiakuna watu walitusiwa person issues hivyo kitendo cha Sitta kukikimbia kiti ikaonekana ni repetence, akasamehe, hivyo bunge likaahirishwa hivi,,hivi,, kama mchezo!.

  Hapo unategemea nini?.
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Udhaifu huu utumike kama mtaji kwa ajili ya 2010. Pamoja na matatizo yooooote tulionayo sitegemei wabunge wapoteze muda kuongelea vitu personal. Wanaonyesha wamechoka hivyo tuwaweke wakae pembeni ili waendelee na personalisation, tuchague watu wenye uchungu na matatizo ya kweli ya wananchi.

  Last week was the lowest week in the history of politics in Tanzania.
   
 13. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hapa ulitaka kusema nini? Nikisoma mtiririko mzima nauna kama unajazba kuna wengine kama akina Busanda, Biharamulo nimekaa nao wanaelewa tatizo. Kusema hivi ni kuwatukana. Heri wao wameshaamka wananawa uso. Kule kati vipi?

  Twendeni tukaongee nao tuache hizi jazba kama ndivyo nilivyo kuelewa.

  MMK amekuwa specific na hata wale 40 wasingeweza kujaribu. Kwa statement yako hata wale waliojaribu au wanaojiandaa kujaribu huwaoni.

  Nakumbuka Kenya vuguvugu lilianzia kwenye vilima vyao hapo mlimani vipi?

  asante
   
 14. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Hakuna shida hata tukiwaazima hii nchi tatizo tu ni mfumo. Let fight for that even if you can predict
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hii nchi basi tena...
   
 16. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #16
  Nov 7, 2009
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Inaboa sana. yaani tunakaa watu wazima tunaweka mategemo yetu kwa watu wanaoitana kutukanana. Tumekuwa wajinga mno; yaani hii mijamaa kila mara ikiitana Dodoma sisi tunatega masikio as if wanaenda kufanya jambo la maana. Wanatupiga changa la macho, tunabaki kubishana, tunawasubiri tena, wanaenda, tunaacha shughuli zetu tunaanza kuwasikiliza, wanatukananaaaa weee, wanarudi zao, uchaguzi ukija tunawachagua-now who is stupid, wao au sisi?Kimsingi tumekuwa wajinga maana tunawasikiliza vichaa wakirushiana makopo barabarani.

  Haya muone huyu mwingine kaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu jinsi naye alivyo CCM damu tangu 1977, kana kwamba hilo nalo ni jambo jema, na sisi tunakaa tunamwona yeye ni mjanja na ana akili kuliko Sofia Simba, common guys, we should stop this.

  Kama wametushinda na tumeona hatuwawezi, hebu tubaki tufanye kazi tulizosomea ili familia zetu zisife njaa,.Lakini siamini kwamba hatuwawezi, tunawaweza. Tunawaweza kuwafukuza CCM madarakani tukitaka. Tuanze kuchukua hatua, na hatua ya kwanza ni kuacha kuwategemea na kuweka matumaini yetu kwao.
   
 17. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  It is ridicules to think that we have leaders. We have pick perfumers and we will never rid them out if will not stand still. We have to fight for our independence for the second time.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mzee Mkjj,

  Hakuna mtu anayeweza kuigusa hii CCM kwa sasa kwa namna yoyote, maana wazee waliopo huko wote ni kama walinyweshwa maji ya bendera!

  Lakini wakati unaongea- japo watu hawawezi kuusikia kwa milango ya kawaida ya fahamu!

  Wakati ndo unaoila CCM kwa sasa maana muda wake wa kuelekea kufariki unakuja kwa kasi sana, tunachotakiwa kufanya , ni kila mtu aweke inputs zake kidogokidogo tu, then itapiga chini...chali!

  -Pigia kelele maovu-watu wajue
  -Jiandikishe wakati wowote wa kura, na ukapige kura.
   
 19. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  I think its not incompetent but impotent!
   
 20. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145

  Mkuu Pasco,

  Si kweli kwamba tunawapa CCM kura ili watutawale bali wanajipa wenyewe kwa kutumia vyombo vyao vya dola na tume ya uchaguzi. Kwani CCM ilishinda Busanda na Biharamulo? Si walijitangaza wameshinda tu? Tutapiga kelele sana hapa lakini bila mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi tusirajie kuiondoa CCM madarakani labda kwa mtutu wa bunduki!!!

  Nashangaa kwanini vyama vya upinzani hawalioni hili na kulifanyia kazi.

  Tiba
   
Loading...