Kuhusu website ya Chama Cha Mapinduzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu website ya Chama Cha Mapinduzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanza Madaso, Nov 8, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bado inaonyesha viongozi wa miaka iliyopita lakini tarehe ni ya leo 07/11/2009. Najua baadhi ya viongozi wapo humu ndani badilisheni kwani mnazo fedha za kutosha kuajiri vijana waliomaliza IT kusimamia na ku update website yenu mnatia aibu kwani mnamnyima haki yake Mwenyekiti wa CCM Mh J.M.Kikwete

  VIONGOZI WA CCM
  MWENYEKITI WA CCM
  Rais Benjamin William Mkapa​
  [​IMG]
  MAKAMU MWENYEKITI WA CCM
  (Bara)
  Mzee: John Samwel Malecela​
  [​IMG][​IMG][​IMG]
  MAKAMU MWENYEKITI WA CCM
  (Zanzibar)
  Abeid Aman Karume​
  [​IMG]
  KATIBU MKUU WA CCM
  Ndugu Philip Mangula​

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Puuuuuhh!......mhhh!.....fyuuuuuuuuut!
   
Loading...