Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo...
Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda...
THE Members of Perliament (MPs), Mr William Shellukindo and Mrs Beatrice Shellukindo have lost a child, Wito Shellukindo, it has been announced.
The Chairperson of the National Assembly told...
Kwanza natanguliza samahani kwa wale wa CCM wote na viongozi wake ambao ni safi hii haiwalengi hao individuals ila kinachoendelea sasa kwenye huu mkutano wa Tume ya Maridhiano ni uthibitisho tosha...
"Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole, lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake na udhaifu wake unatumiwa na watu ambao wala si wema wala wapole kuhatarisha umoja na amani ya nchi yetu" - Uongozi...
Sikutegemea hata siku moja kuwa Tanzania itafikia mahali ambapo viongozi wenyewe kwa wenyewe tena wa chama kimoja kile kinachotawala wataanza kurushiana makombora ya shutuma, matusi na kejeli...
Wakuu leo nimejikuta nikitafakari sana kuhusu mustakabali wa nchi yetu. And after listening to the tune below nikajikuta nimemkumbuka FMES - "Viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe" I love...
Naam, ni manyang'au - huishi pamoja, huwinda pamoja na hula pamoja. Tatizo la manyang'au ni kuwa hawaaminiani kwa sababu maisha yao hutawaliwa na tabia ya ulafi. Wakikaa mkao wa kula basi kila...
Wadau, Tanzania yetu ilipofika inahitaji chama mbadala, tofauti kabisa na hiki kilichotudondosha mikononi mwa mafisadi. Dukuduku langu linakuwa ni kipi hasa kitakachotumia udhaifu wa viongozi wa...
Watanzania bado tuna machungu ya Chenge kutuibia vijisenti na akaviwekeza ughaibuni. Kumbe mdudu huyu huyu ndiye ali-sign mkataba baina ya serikali na Rites wakati huo akiwa waziri wa miundo...
Wana JF, kwa sasa wazizi wa uatali Shamsa Mwangunga anajieleza bungeni baada ya mbungu wa Loliondo kuwasilisha hoja yake ya unyanyanyasaji wa wafugaji kule Loliondo - kweli anapumulia mashine...
Tutaraji nini kwa waziri aliyeghushi cheti?
Johnson Mbwambo
Oktoba 28, 2009
WIKI iliyopita mwanasafu mwenzangu wa gazeti hili, Lula wa Ndali Mwananzela, alinikuna alipoandika kwa...
Ni muda mrefu sasa tangu spika wa bunge letu tukufu alipoanza kuhusishwa na tuhuma mbali mbali, wana Jf wengi walijitokeza bila kusahau vyombo mbali mbali vya habari kumtetea SS! sakata...
WAR ON GRAFT: You are failing us, JK tells the west
THE CITIZEN
2009-11-06
President Jakaya Kikwete speaks during the Economic Conference Second Business Roundtable in Dar es Salaam yesterday...
wana jamii mimi nina wazo kuwa ianzishwe safu inayoitwa "kuelekea uchaguzi mkuu 2010" ndani ya JF ili tuwe tunapashana yatakayojili,ni kina nani wanajiandaa kugombea ubunge na urais.asante
Hali ya mambo ilivyo hapa Nchini Tanzania haina tofauti sana wakati Wanyarwanda wanaelekea kwenye mauaji ya Kimbari. wakati huo kwa kutumia vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havikemewi na wenye...
Kama dalili zinazoendelea zitakuwa ni zile zile zinazotarajiwa basi gazeti la Raia Mwema na Dr. Slaa wameanza kumulikwa kwa kurunzi kali zaidi. Raia Mwema kwa kuanza kuchukua nafasi ya magazeti...
Wapo wanaosema tunahitaji utawala bora. Wengine wanadai tunahitaji viongozi bora. Wote wanasahau hitaji kuu la Tanzania na Watanzania.
Watanzania wanahitaji msukumo. Wanahitaji kutiwa moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.