Report card ya Mizengo Pinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report card ya Mizengo Pinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 6, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo mambo ya Pinda hayo! and please dont get me started na hiyo kilimo kwanza

  Huyu bwana hafany press conference, website ya ofisi yake HOVYO HOVYO tuu haina anything kuhusu policy za serikali anayoiendesha, if anything watendaji wengine serikalini wanamdharau tuu na last but not least naona atakumbukwa kama Waziri mkuu ambaye alitaka kupiga marufuku mawaziri kuvaa suti NA alitaka watembelee BAJAJI!

  Narudia tena this is the most useless Prime Minister ever to breath in Tanzania if anything kwa kutaka kuleta politics of envy ni Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character na mbaya zaidi naona kapewa cheo kikubwa kuliko uwezo wake

  Hivi kila kitu mpaka akiingilie JK ndio kinafanyika?

  Kutuambia eti hajui kwa nini Malaysia wameendelea wakati tulikuwa sawa nao kimaendeleo inabidi huyu Pinda arudi darasani asome au nashauri wapambe wake wamnunulie hivi vitabu

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  halafu aachane na kusoma udaku

  si vibaya akawa anasoma gazeti la ECONOMIST kila wiki
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Atakumbukwa pia kwa kulia machozi hazarani ndani ya Bunge kwa huruma ya Maalbino!...lol!
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hapa ndiyo maana mara nyingi nimekuwa nikirudia kusema nafasi za watendaji wakuu wa serikali kama makatibu/naibu katibu wakuu, mawaziri na manaibu waziri wawe wanaingizwa kwenye hizo post baada ya usairi wa kutosha, nafasi hizo ziwe zinatangazwa kwenye vyombo vya habari na watanzania kuapply nafasi hizo.

  MJ
   
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  game theory you never cease to amaze me,i would really like to know the person behind this GT front,for out of the blues and from nowhere you come out with a lot of substance-its my hope that you is located in Tanzania helping push the wheels of progress forward-salute
   
 5. Nenga

  Nenga Member

  #5
  Nov 6, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 75
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Wakuu hilo ni tatizo la network na ndio maana hamuwezi kuona nii kafanya coz network iloyopo chini yake mpaka sasa inapokea order toka kwa Edward Lowasa.Hata fanya chochote mpaka network itakapo panguliwa na kuundwa upya, na hii sio hapo kwake tu bali pia katika Government institutions nyingi tu LAPF,NSSF,PPF pia wizara zote hawa waheshimiwa wanapeleka order mpaka sasa.
   
 6. C

  Choveki JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  To be honest with you, you are not alone!

  I think you need to talk to him nicely, and prove to him beyond any doubt that in any way or form you are not a Fisadi nor you are not related to any of them in any way or form. And lastly, you really love Tanzania dearely!!

  Do you think he will still be alive? The way he cannot tolerate incompetencies he would either have killed himself or be killed by telling off the so called "Mafisadi" infront of everyone!!!!.
   
 7. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Choveki,dont take GT for granted,he could be a cheetah in sheepskin preaching anti ufisadi and behind the scenes actually practising it-you never know humu JF he could be tasting waters and gauging opinions.
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  GT to the casual observer it seems you have an axe to grind with the present PM.
  All what you have insinuated is an over repaint of the local tabloids, much of which do not have substance.
  Come out of your shell and apart from your rightist leanings and print choices that have no relevance to the "mlalahoi", come over from your comfortable position to till with the massses.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT sawa kama Pinda hafai unampendekeza nani achukue nafasi yake kati ya hawa:- Juma Kapuya, Adam Malima au hata Ramadhani Dau!!!
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hapa hamna waziri mkuu!
  samahani kwa kujibu swali nisiloulizwa
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hayo majina nimeyaweka maksudi wanaomuelewa GT wamenielewa maana yangu na yeye anafahamu kwanini nimemuingiza Ramadhani Dau katika kundi hilo!!
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,227
  Trophy Points: 280
  Umdhaniaye ndiye kumbe siye, sasa amini nawaambieni, 2015 anaweza kuwa Pinda.
  Jamaa ni makini ana hafanyi mambo for cheap publicity kama EL.

  Mwaka 1995 pale Kilimanjaro Hotel, wakati Mkapa akitangaza kuchukua fomu, huku ameanamana na Kinana, Ruhinda, Peter Sakia Macha, Adv. Kapinga (RIP), alihojiwa prog ya Mada Moto ya DTV, akaulizwa kati ya wagombea wote wa urais kwa tiketi ya CCM, wewe ndio unaonekana weakest with no any track record umewahi kulifanyia nini taifa hili katika nyadhifa zako zote ulizoshashika, jamaa akasema mimi sijisifu wala sitaki credts zaid ya collective resiponsibilities, jamaa aliishida yeye. Ndivyo itakavyokuwa kwa Pinda. " Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni (corner stone).
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280


  Mkuu bulesi heshima mbele,

  Samahani naomba kuongeza kidogo nadhani umemsahau Mustafa Mkullo,Hawa Ghasia,Hussen mwinyi na Sofia simba.
   
 14. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kazi kweli kweli..
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana nawe Pasco juu ya Pinda,
  It is only those weak in forecasting wasioona potential ya Pinda.
  Jamaa anacheza karata zake barabara.Background yake inampa uelewa huo.
  Mpaka sasa hajaingizwa kwenye kundi lolote ndani ya CCM, hiyo ni karata dume.
  Naweza kuwaita wale walio na udhaifu wa kuchambua mambo, waki zero -in katika hoja dhaifu kabisa kama za GT.
  Tatizo lao wanataka kucheza mpira wasioufahamu hapa bongo.Habari wanazopata ni za humu JF na magazetini.
  Nampa credit KMPP(Kayanza Mizengo Peter Pinda) kwa kutread carefully kati ya makundi hasimu ndani ya CCM.
  Vile vile he rightly blasted wale wa anti-muungano katika SMZ. Na hii ni baada ya kuusoma vyema upepo wa kisiasa na kuwa furahisha waBara.
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  GT,

  According to my "vicious cycle of mediocrity" observation, it is only going to get worse if somebody with guts does not break this cycle.

  When we had Sumaye as PM we thought we had the rock bottom, apparently not so, at least Sumaye knew enough to keep his mouth shut or underexpose himself. I will not be surprised if the next PM is worse than Pinda.
   
 17. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45

  kona ya udini kama kawa!!!! nimegundua. bila shaka atakupa jibu upesi sana.
   
 18. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wewe unamtetea huyu mtu anataka Tanzania ifuate mob justice badala ya rule of law?

  By the way anavaa suti bado?
   
 19. J

  JokaKuu Platinum Member

  #19
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  GT,

  ..mambo ya Pinda ni Kilimo Kwanza.

  ..halafu mbona mimi naona kama afadhali ya Pinda kuliko JK?
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  watoto wakiwa useles analaumiwa mzazi HIVYO suala la PINDA wa kulaumiwa ni ...........
  my lips are sealed
   
Loading...