JK mtoto wa Mungu (2010)...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK mtoto wa Mungu (2010)...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumain, Nov 5, 2009.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
  Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda kupendelewa) kikatamka waziwazi kwamba JMKikwete ni chaguo la Mungu...impliedly wagombea wengine si chaguo la mungu...ila....
  Hatimaye wananchi wakapiga kura akashinda wengine yule chaguo la Mungu nafikiri kikundi hicho cha jamii (kimeshapata cake/mgawo wao kwa kuwa kina penda kupendelewa)
  Swali je 2010 JMKikwete ni chaguo mungu (2005) itabidi 2010 apande daraja awe / atakuwa "mtoto wa Mungu" ?
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Tafadhali nisaidie Miungu wako wengi,sasa Mungu yupi huyo? Inawezekana alikuwa chaguo la Mungu wa huyo aliyetamka.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyo mungu wao atampandisha daraja na kuwa mtoto wa mungu...wanajua sana aliyesema hayo maneno ...lol
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  JK sasa hivi anaogopa kuikaribia hata madhabahu ya kanisa , au umesahau mkasa wa kuporomoka kule Mwanza baada ya walokole kukoleza maombi yao. Muulize akwambie.
  Huyu hawezi kua chaguo la Mungu wa kweli, labda mungu wa kule baharini, simnajua kuwa huyu ni mzee wa pwani.
   
 5. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  But why this Sir? just skip it.....
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha haha,

  Yaani nimecheka hadi basi. Kumbe wanamaombi walikuwa wanapiga sala kule Mwanza hadi Kikwete akalalia kushoto (sijui ina maana gani hii)?

  Huyo Tumaini ana mungu wake mwenyewe anayemjua kwa hiyo usimshangae sana maana anaweza kukuvalia mkanda wa kujilipua muda wowote ule.
   
 7. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #7
  Nov 5, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Unakumbuka JK alisema,''naomba mnichague kuwa Rais,ili niweze kutumia vipaji vyangu kuleta maisha mema kwa kila Mtanzania.''
  Wakati wote wa uongozi wake,JK ameonyesha kwamba yeye ana vipaji vingi,na lawama mara nyingi zimeelekezwa kwa watendaji wake,na mpaka sasa hiyo ndiyo lawama kubwa dhidi ya JK kwamba anashindwa kuwawajibisha watendaji wake.
  Unakumbuka Bolshevik Revolution ilipoanza Russia. Yalipotokea matatizo katika Collectivisation ya Agriculture na Indutry,Stalin akasema kwamba hatupati maendeleo kwa sababu wapo ''saboteurs''. Hawa watu wakakusanywa wakapelekwa Siberia. Unaona similarity na ''economic sabotuers'' wakati lilipoanza Azimio la Arusha?
  Kwa hiyo hapa watu wanataka kuona JK anafanya kazi kama Stalin. Au wanataka kuona Cultural Revolution hapa Tanzania,kama iliyofanyika China.
  Zilikuwa zinafanyika juhudi halali za kuleta maendeleo Russia na China,lakini hazikufanikiwa kwa sababu watendaji walikuwa imperfect,walikuwa wanafunga watu wengine,walikuwa wanafunga watu wengi ambao hawana makosa,in fact,in Russia and China,mapadre wengi walifungwa.
  Lakini mimi nadhani juhudi zozote zinazofanyika kulilinda na kulihifadhi Taifa,na kuhakikisha maendeleo ya Taifa,ni juhudi halali.
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mungu wa tumaini anafahamu kwamba kila binadamu JMkikwete ameumbwa na mungu, IHlipumba amuumbwa na mungu?? waleeeeeeee waliosema JK pekee ni mtoto wa mungu..2010 watasema nini? kwa wapiga kura wao..just curious?? je wameshagawawi national cake kiasi gani?? lol..
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Msilalamike kwa ufisadi wa CCM na JK..yeye ni chaguo la Mungu..na 2010 atakuwa mwana wa mungu as per....certain sect of society..lol
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ganesh,

  Habari za "Rais hashauriwi vizuri" au "rais hana washauri wazuri" au "watendaji wa rais wanamuangusha" ni some sorry excuses.Na mara nyingine zinatumika kama euphemism kwa sababu nchini kwetu kuna watu fulani hawawezi kusema wazi kwamba "rais hana uwezo" au "rais anachemsha". I wonder if your subtlety falls into this category.

  Hizi habari ni sawa na mtu aliyeenda kuomba kazi, halafu bosi anamwambia "I don't have any problem with your application but my partner said no" why is it always the invisible partner?

  Hata kama ni kweli kwamba washauri/ watendaji wa rais ndio wanaochemsha, principles za collective responsibilities zinasema lawama inabebwa na serikali nzima.Na kwa principles za "noblisse oblige" he who is given the most power shall be required to do the most with it, and subsequently, shoulder the most responsibility.

  Napenda kurudia mara nyingi kaulimbiu iliyokuwa popularized na rais Harry Truman wa Marekani kwa kuweka kibao mezani kinachosema "The Buck Stops Here".Kitufe cha wajibu na lawama kitakwenda kulia kushoto lakini kwa sababu rais ndiye mkuu wa nchi, kitarudi mezani kwa rais.

  Kama ana washauri wabaya maana yake hawezi kuchagua wazuri, kama anaendelea kuwakumbatia maana yake hana maamuzi.

  Huwezi kumtetea Kikwete kwa minajili ya kwamba ati washauri na watendaji wake wanamuangusha.Akiukubali ushauri unakuwa si wa washauri tena, unakuwa wake. Wtendaji wakiharibu bila yeye kuwa na mechanism ya kujua katika system iliyo Draconian na top down kama Tanzania nitamuona rais hana uwezo tu.Its not like ana upinzani mkubwa bungeni, after all the guy is president and chairman of the ruling party.
   
 11. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  "Delegating work works, provided the one delegating works, too".- Robert Half
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Utumbo mtupu!

  Ati na wewe ni great thinker? Madrasa zingine kweli zinaharibu akili.
   
 13. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #13
  Nov 7, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Haya ni maswali magumu sana kuyajadili sasa. Hapa ni saa tano usiku. I am signing off.
   
 14. m

  muafaka Senior Member

  #14
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1/. Nadhani masuala ya Mungu yako based on faith, si lazima watu wote wawe na faith moja.
  2/. Kila mmoja ana uhuru wa kusema chochote anachodhani ni sahihi as long as havunji sheria. Ndio maana hapa jamvini tunaweza kusema mambo mengi kwa kuwa waliotupa platform hii ya mtandao (sijui ni akina nani vile!) walitupa huenda kwa kutuonea huruma hatuna pa kusemea au ili tuseme watu enjoy huko waliko majuu teh! teh! teh!

  3/. Kwa msingi huo basi sidhani kama discussion based on someones belief shall have a converging point anywhere. This is my opinion
   
 15. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Frustated mind...nenda kajiunge na NRA wanakusubiri..huna uwezo wowote kufikiri...kichwa maji wee.
   
Loading...