MkuyuMkubwa
Member
- Sep 27, 2009
- 50
- 0
Inasikitisha kwamba chama tawala kimejaa mafisadi....Nakubaliana na hoja zote za makombora waliorushiana wabunge wa CCM kwenye kikao cha mzee mwinyi...nimetafakari sana kuhusu uchafu huu. sasa sioni cha wapiganaji wala mafisadi. sasa sioni tofauti ya Lowasa na Mwakyembe, wala Sitta na Chenge, wala Mengi na Rostam...mtu pekee ambae bado naamini ni msafi ni huyu Dk Salim aliyegombea urais2005, nadhani achukue nchi 2010..Nani ana mashaka