Makao makuu EAC kuanza kujengwa soon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makao makuu EAC kuanza kujengwa soon

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saharavoice, Nov 9, 2009.

 1. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,588
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sana, inaelekea sasa ujenzi wa makao makuu ya EAC utaanza wakati wowote kuanzia sasa.

  Ile parking ya magari ambayo wafanyakazi walioko kwenye jengo la AICC imezuiliwa kutumika kuanzia Leo ikiwa ni kupisha maandalizi ya ujenzi huo.

  Lets hope kwamba safari hii watakuwa serious.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Yaani evidence pekee uliyo nayo kwamba makao makuu ya EAC ni kule kuzuiliwa kupark? Kaazi kweli kweli!
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Contractor ni nani na Consultant wa mradi pia ni nani?


  hivi makampuni mangapi ta Tanzania yali bid for this project na mangapi yamefanikiwa hata kwenye sub contracting?
   
Loading...