kanyagio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
kanyagio
Last Activity:
Jul 19, 2018 at 10:25 PM
Joined:
Dec 10, 2009
Messages:
985
Likes Received:
43
Trophy Points:
45
Liked:
41

Following 1

Followers 2

Share This Page

Facebook Twitter

kanyagio

JF-Expert Member

kanyagio was last seen:
Jul 19, 2018 at 10:25 PM
  1. kasopa
   kasopa
   Habari mkuu za siku ebwana katika uzalishaji kuku unao kuku wa nyama kuna dada yangu kafungua hoteli anahitaji kuku jamaa anae mletea anampa wadogowadogo
  2. Fau2364
   Fau2364
   Mkuu Kanyagio!!!Nimekupata kwa nia nzuri uliyonayo ikiwa ni pamoja na wa - Jf wengine, ningependa sana na mimi nishiriki tangu mwanzo hadi mwisho, nipo tayari kuchangia chochote kile kitakacho pelekea mafanikia ya kujikwamua kiuchumi kwa usirikiano wa kimawazo.Kwa sasa hivi nipo safarini UK, na inaelekea hata hiyo tarahe bado nitakuwa safarini, ombi langu kubwa ni:-Nifanye nini ili niweze kuwa mshiriki kamilifu, ikiwa ni pamoja na kupata minutes za kikao kitakacho fanyika? Natanguliza shukrani za awali.Faustine.
  3. kasopa
   kasopa
   Mkuu haliyako salama huko habari za siku ndugu. mimi mzima nimepita kukujulia hali kaka
  4. kasopa
   kasopa
   mkuu haliyako mambo vipi huko mheshimiwa naomba msaada wako nimeamua kulima migomba kule dakawa, kuna mtu unafahamiananae SUWA ili atupe maalumati ya kupata mbegu bora. za ndizi ijulikanayo kwa jina la BUKOBA. kuna jamaa flani nilikuwa na wasiliana nae kuhusu mbegu bora akasema huko SUWA zina patikana lakini kwa bahati mbaya huyu jamaa kaingia mitini kama unavyojua tabia zawatu wengine zilivyo
   Ubarikiwe mkuu
  5. Kagemro
   Kagemro
   naguma ulige?
  6. kasopa
   kasopa
   mkuu kanyagio naskitika sana kukutaarifu kutohuzuria kwangu katika kikao chetu sina budi kutokana na raatiba ya kikazi kubadilikka na kusiri likizoyangu kesho ntasafiri kwenda Yemen kikazi. lakini mchango wangu utawasiliswa na mjumbewangu katika wajube nilionao ni Mouna Lyaruu na Raiya Rashid watahuzuria kikao
 • Signature

  always apply the law of leverage
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...