Uchaguzi mkuu TZ 2010: UPDATES

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Wakuu,
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni mwaka huu 2010.
Tafadhali leteni updates za mchakato wa uchaguzi huo bila kujali chama au aina ya uchaguzi (Rais, Wabunge, n.k)
Itakuwa vema tukipeana updates hapa mahali pamoja ili kujenga mazingira makini ya kufuatilia.
 
[1] J M Kikwete Urais wa JMT.

[2] Freeman Mbowe Ubunge Hai

[3] A L Mrema Ubunge Vunjo

[4] Prof Lipumba Ubunge Tabora.
 
Uchaguzi wa Mwaka 2010 ni Mzuri wala hakuna wasiwasi hasa kwa Rais wetu, Huyu atapita kwa kishondo kikubwa sana, Najua maneno haya kuna baadhi yanawaudhi lakini hilo ni lao.
Mimi na Familia yangu tutampigia kikwete, Pamoja kuwa ni kura ya siri lakini mimi hilo halinipi Pressure kabisa.
Kazi iko kwa Wabunge, Yaani huwezi kuamini wengi watafirisika kwa kuhonga na tumeahidi kuzila pesa zao hizo na hatutawapigia kura.
Na baada ya Uchaguzi watakuwa Masikini wa kutubwa.
Mimi na familia yangu tuta angalia hali ikoje kwanza.
 
mmh no coment
 
Hakuna uchaguzi wowote ni usanii tu. Kikwete atashinda tena kwa Kishindo pamoja na kushindwa kutimiza ahadi hata moja katika ahadi alizozitoa 2005, Wapinzania bara hawatapata hata viti 20 ndani ya Bunge pamoja na Bunge hili kuwa la kisanii na kwa mara nyingine tena rubber stamp ya Serikali. Sidhani kama haya matokeo ni mazuri kwa nchi yetu hasa ukitilia maanani usanii mkubwa ulioonyeshwa na Serikali hii na Bunge letu.
 
Uchaguzi wa Mwaka 2010 ni Mzuri wala hakuna wasiwasi hasa kwa Rais wetu, Huyu atapita kwa kishondo kikubwa sana, Najua maneno haya kuna baadhi yanawaudhi lakini hilo ni lao.
Mimi na Familia yangu tutampigia kikwete, Pamoja kuwa ni kura ya siri lakini mimi hilo halinipi Pressure kabisa.
Kazi iko kwa Wabunge, Yaani huwezi kuamini wengi watafirisika kwa kuhonga na tumeahidi kuzila pesa zao hizo na hatutawapigia kura.
Na baada ya Uchaguzi watakuwa Masikini wa kutubwa.
Mimi na familia yangu tuta angalia hali ikoje kwanza.

Unajidanganya ndugu yangu..Ofcoz ni ukweli usiopingika kwamba JK atashinda Urais ila unajidanganya kwa kusema kwamba atashinda kwa kishindo..hilo sahau.kura zake zitapungua..
 
All are political animals na pia hakuna uchaguzi ni uchafuzi wa mali na pesa za watu maskini katika taifa letu
 
Unajidanganya ndugu yangu..Ofcoz ni ukweli usiopingika kwamba JK atashinda Urais ila unajidanganya kwa kusema kwamba atashinda kwa kishindo..hilo sahau.kura zake zitapungua..
Inategemea unautafsiri vipi ushindi wa kishindo, kwangu mie kama mtu akipata zaidi ya 67%,na mpinzani wake wa karibu akawa na less than 20% huo ni ushindi wa kishindo.

Ni ukweli unaouma sana.
 
naona kuko kimya kweli kama vile hakuna uchaguzi ...

FL1 hakuko kimya kama unavyodhani, vita viko chini kwa chini, nadhani wamejaa kwa waganga wa kienyeji kwanza wakitoka huko utaona tambo na majigambo baada ya kupewa conffidency na hao wataalamu wao wa kienyeji
 
[1] J M Kikwete Urais wa JMT.

[2] Freeman Mbowe Ubunge Hai

[3] A L Mrema Ubunge Vunjo

[4] Prof Lipumba Ubunge Tabora.

Mona hujaweka vyama? Freeman Mbowe ni CHADEMA, kwa upande wa CCM ni mtoto wa marehemu Awinia Mushi anaitwa Christopher Mushi. Wote wanaushawishi mkubwa katika jimbo la Hai. Mushi yeye ameanza tangu kama miaka 2 iliyopita kuweka mizizi kwa kujishughulisha na wananchi na shughuli zao za kimaendeleo.

Mbowe watu wameshajua kuwa anagombea kwa sababu tu ? hagombei tena nafasi ya urais
 
Mimi pia namke wangu na watoto wangu sita tunampa JK. Hilo halina ubishi. Ubunge? Udiwani? Itategemea kura ya maoni.
 
Mh. J.Kikwete ameahidi kupambana na Russhwa / Ufisadi katika matumizi ya pesa za Uchaguzi mkuu.
Hili limekaaje?
 
Sio uchaguzi ni uchafuzi maana hakuna tume huru ya uchaguzi na kuruhusiwa kwa mgombea binafsi
 
Ngoja majimbo mapya yatangazwe ili tujue namna ya kuukabili
 
Back
Top Bottom