This is just a belief


A

ASSEY

New Member
Joined
Feb 25, 2010
Messages
4
Likes
1
Points
0
A

ASSEY

New Member
Joined Feb 25, 2010
4 1 0
We tanzanian we need to change the way we believe on issues about our nation. if we change the belief the performance follows ie if you and me change the our belief we can change the way we run our life, its often only the belief that makes somthing so ni kweli kwamba si kila kitu kipo kama tunavofikiri kipo bali hatuwezi kubadili mfumo huu wa kulalamika if we wont change our belief on our leaders, govenment and our nation.
Tubadilike na tutambue kulalamika hakusaidii kwani viongozi wetu ni viziwi hawasikii kilio cha waliowaweka madarakani, masikio na macho yao wame yaelekeza katika rushwa na uongo
Wakati ni huu hakuna kesho tujiandikisheni kwa wingi iliwatakapo taka tena ajira tuwe na nguvu ya kusema hapana KURA YAKO NDIO FIMBO YAKO KUWA MAKINI.
 
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
46
Points
135
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 46 135
mmmh with my country!change will neva happen,not now maybe hukoooooooo ntakapokuwa kabibi
 

Forum statistics

Threads 1,262,135
Members 485,487
Posts 30,114,797