Do they work for Us | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do they work for Us

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hosida, Feb 26, 2010.

 1. H

  Hosida Member

  #1
  Feb 26, 2010
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi to all wadau wa kiringe hiki chenye wataalam wa uchambuzi wa mambo kadha wa kadha. Naomba mfungue attachment niliyotuma muweze kuona jinsi wawakilishi wetu pale Bungeni Dodoma wanavyotupigania au kutuangusha. Swali la tafakari; Je, wapiga kura ambao ndio waajiri wao wanajua haya? Je, kuna namna yoyote ya kuweza kuwawajibisha wale ambao hawawakilishi wananchi wao kwa dhati? Tufanye nini ili tuwahamasishe wananchi wa kawaida kufuatilia shughuli za Bunge hususan katika kipindi cha Bajeti pamoja na kipindi cha maswali na majibu?

  Karibuni tutafakari pamoja.
   

  Attached Files:

 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,118
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  Thanks for this! Will read and come back later.
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,494
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Kila mkoa mwaka huu wanataka waongezewe majimbo hata Dar wanataka waongeze mengine manne ili yawe 11! Huduma za jamii ziko hoi bin taaban tunataka kuongeza wabunge. Bunge lenyewe ndio hilo. Kuongeza Wabunge maana yake ni kuongeza ruzuku kwa vyama na hasa CCM.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Over-analysis of futility trying to measure futility index. of the futile system.

  Ok u have my tafakari..

  Yes wanakula nchi and there is nothing u can do about it.
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mafisadi wakuu (EL and RA) wanaongoza kwa kutotoa mchango wowote Bungeni na huyu Hussein Mwinyi bado sijiridhishi kwa nini watu wengi wanahisi ndio atakuwa mrithi sahihi wa JK akimaliza muda wake?

  [​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,118
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  Kwa kuanzia ni analysis nzuri tu. Kama kungekuwa na uwezekano ningependa analysis hii ingehusisha pia vigezo vifuatavyo:

  (1) Umri wa wabunge
  (2) Kiwango cha elimu cha wabunge

  Bahati mbaya wapiga kura wengi hawajui haya. Nadhani vyombo vya habari pamoja na asasi za kiraia vinaweza kutoa mchango mkubwa sana kwenye hili. Sisi paia kama individuals pia tunaweza kuwa na mchango mkubwa kwa kujitolea kufanya hizi tafiti na kusambaza matokeo ya tafiti hizi.
   
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  The Bunge, Tanzania's Parliament, is one of the most important institutions in the country. Its importance is reflected in the resources allocated to it. For 2009/10, Tanzania's Parliament was allocated Tshs 62 billion. Since Parliament comprises of 320 members, this amount averages to Tshs 194 million per MP.
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MP wa UK wanapata salary, allowance and other expenditures kama ifuatavyo;

  Summary of current rates with effect from 1 April 2009
  Members' parliamentary salary £64,766 from 1 April
  Allowances
  Staffing Expenditure Maximum of £103,812
  Administrative and Office Expenditure (AOE) £22,393
  Personal Additional Accommodation Expenditure (PAAE) £24,222
  London Costs Allowance £7,500
  Winding‐up Expenditure £42,068
  Communications Expenditure Maximum of £10,400
  Motor Mileage allowance 40p per mile (for first 10,000 miles)
  25p per mile (after 10,000 miles)
  Motorcycle allowance 24p per mile
  Bicycle allowance 20p per mile
   

  Attached Files:

 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hii inaumiza sana akili. sipendi hata kuwaza.
   
 10. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,316
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mambo yanaingiliana hapa. Mawaziri wote ni wabunge, hivyo waziri kuwa mchangiaji kama mbunge inakuwa haiwezekani kwani yeye ni sehemu ya srikali inayokuwa inahojiwa mara nyingi, Ingekuwa bora kutenga taarifa ya uchangiaji kwa upande wa wabunge na mawaziri. Amabpo kwa uwaziri ingeweza kuwa ni waziri yupi anayetoa majibu yanayokata kiu ya wabunge na ni yupi anaejibu hovyo hovyo!

  Lakini kizuri zaidi ni kuwanyanganya mawaziri wote ubunge (mawaziri wasiwe wabunge). Hapa moto tungeuona na mafanikio yangekuja Tanzania kwa kasi zaidi, sio kwa mwendo wa kusuasua kama treni iendayo kigoma. Tunataka kama mkuki wa kichina!
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tanzania zaidi ya uijuavyo
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...