Miaka 15 baada ya Beijing-Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya SiasaTanzania laanzishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 15 baada ya Beijing-Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya SiasaTanzania laanzishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, Mar 6, 2010.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Leo wanawake wa wanasiasa wa Tanzania wamefanya uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya siasa Tanzania (Tanzania Women Cross Party Platform,TWCP)lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar esalaam.Jukwaa hili linawanachama wa vyama vyenye Wabunge..Uzinduzi ulifanyika leo asubuhi katika ukumbi huo na kuhudhuriwa na mamia ya wanawake toka katika vyama mbalimbali vya siasa wakiwemo Mawaziri na Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Vyama vya siasa na kada nyingine kama vile TGNP,Wake wa Mabalozi nchini,Wanaharakati mbalimbali Wanahabari na wageni wanawake wanasiasa toka Finland.Uzinduzi huu ulifanywa na Mke wa Rais mama Salma Kikwete..Jukwaa hili limeundwa mahususi kwaajili ya kumkomboa mwanamke kisiasa,kiuchumi na kijamii bila kujali itikadi za vyama...

  Kauli mbiu ya jukwaa hili ni "Rafiki wa Mwanamke ni Mwanamke".Mpka sasa jukwaa hili lina wanachama wafuatao;
  1. Jumuiya ya Wanawake CUF
  2.Baraza la Wanawake Chadema(BAWACHA)
  3.Kitengo cha Wanawake UDP
  4.Kitengo cha Wanawake TLP
  5.Umoja wa Wanawake Tanzania-UWT
  6.Chama cha Wabunge Wanawake(TWPG)-Bunge

  Lengo kuu la jukwaa hili ni kuleta usawa kati ya mwanamke na mwanaume katika siasa.

  Habari zaidi na picha zitafuata baadaye.   
 2. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,705
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hongereni mlioandaa jumuiya hii, kweli tunahitaji mapinduzi ya kweli kwa mwanamke. umoja huu ulete matunda, na nadhani hakutakuwa na malumbano ya kisiasa yasiyoleta maana.
   
 3. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hizi ni habari njema kwa wanawake wanasiasa wa Tanzania.Wakati ni huu,jukwaa hili limekuja kwa wakati muafaka kabisa.Katika mwaka wa uchaguzi mkuu..Big Up.
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I will be honest with you ladies. Kuna vitu vnaponza wanawake lakini kwa wengi vinaonekana ni faida. Hizi nafasi za upendeleo maalumu kwa wakina mama kama vile bungeni una haribu in the long run. Ukisha pewa nafasi simply because you are a woman basi ume kubali kwamba mwanamke hapo kashindwa kucompete na mwanaume. Pia uteuzi unakua siyo merit based na ina punguza credibility.

  My avdvice: Women should fight to get rid of all these positions given to women as a "special favor" to their gender. There are a lot of women who have taken men head on even in male dominated fields and come out on top & I respect them for that. I respect the women MP's who go to the districts to ask for votes way more then I do those who are given the "gender" sits.
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe kabisa...Wakija huko majimboni wapeni kura,msiwanyime based on the sex.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  I would personally never deny a person the vote based on their sex. Ila even if that barrier is they it can be overcome. If a black man can be president in America why can't a woman be elected MP in Tanzania? Examples a plenty.

  With that said women should encourage their educated, skilled and talented peers to run for positions. If they don't want to be denied the vote due to their sex they should not also put foward just anybody and expect her to win based on her sex. What we want is merit on the part of both genders.
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ur amazing MwanaFA.
   
 8. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,622
  Likes Received: 1,093
  Trophy Points: 280
  Wanawake wote walioletwa na kikwete kuwa wakuu wa mkoa wa iringa cha moto walikiona yaani hakuna aliyefanikiwa hata mmja wote waliondoka bila kuaga mbele ya wahehe, hii namaanisha wanawake hawawezi
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  You must be kidding Mkuu.Eleza kwa kina kwanini wanawake hawawezi.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...