Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
kutokana na taarifa zilzo toka tume ya uchaguzi na nyaraka zake kutumwa kwenye vyama vya siasa nchini kuhusu ushiriki wa vyama vya siasa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ambalo dar ni 22 march mpaka 27 ikisema ya kuwa vyama vya siasa ni wadau wanapaswa kushiriki kuhamasisha jamii kwenda kujiandikisha, imekuwa ndivyo sivyo kwa mkuu wa moa huu wa dar kuanza upuuzi na kupuuza maagizo yatume kwa kukutana na chama kimoja cha ccm na maafisa watakao tumika kuandikisha wakazi bila kuita vyama vyote vya siasa kama ambavyo tumeiliagiza, tanzania bila kuin'goa cchatufiki kwa rafu zake wanazo cheza, watanzania tuchukueni hatua ccm basiiii wakoloni weusi mungu walaani ccm ibariki tanzania bila ccm